Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi.

Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu?

Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
 
Atakuwepo
IMG-20240315-WA0491.jpg
 
Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.

Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?

Stupid kabisa yaani
 
Mechi baina ya Yanga na Azam imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Ya Kouassi.

Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya au kulikuwa na nia ovu?

Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
Azama washenzi sana wale jamaa. Sijui safari hii nani aliwalisha sumu. Walikuwa wazuri tu ghafla wamebadilika kwetu.
 
Niliweka uzi hapa mapema kabisa kuwa mechi ya Azam vs Yanga haikupaswa kuwepo tarehe 17 ila tu ni kwasababu ni ratiba za kukomoana.

Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.

Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?

Stupid kabisa yaani
Hivi nyie Yanga si ndio mliosema mnauwezo wa kucheza mechi kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili ...???
 
Back
Top Bottom