Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Pacome aliumia kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya mechi, ila mwalimu aliamua kumwanzisha kutokana na umuhimu wa mechi.Mechi baina ya Yanga na Azam imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi.
Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu?
Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
Kwa mchezo ulivyokuwa, nadhani mwalimu alitaka kumaliza mechi mapema kisha ampumzishe kabla hajajitonesha.
Ila makosa ya Mzize yakagharimu timu. Kwani kabla ya kufunga lile goli alipoteza nafasi mbili za wazi kabisa zilizoundwa na Pacome.
Ova