Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Mechi baina ya Yanga na Azam imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Ya Kouassi.

Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya au kulikuwa na nia ovu?

Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
ndio mpira ulivyo
 
Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.

Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?

Stupid kabisa yaani
Ila nashangaa pia kwa nini Yanga hawakuomba kuiahirisha.
 
Yanga anakula nyingi trust me ephen_ , na hasa baada ya serikal na Ndumbalo wake kuanza kutoa matamko ya kijinga jinga wanaongeza unnecessary pressure kwa Yanga
Tumepata Mamelodi hii kwetu ni bahati kubwa sanaaa!

Dunia inaenda kupatwa na mshangao jinsi Mamelodi watakavyofungasha vilago vyao robo fainal.😂

Daima Mbeleeee💛💚
 
Yanga wao ndio walitakiwa hiyo mechi kuchezesha wachezaji wao wanaowaweka benchi sio wanaweka kikosi hicho hicho wanachokitegemea Mamelodi walicheza hiyo siku na Martizburg kocha aliweka wachezaji wengi wa benchi akijua ana mechi ya robo fainal karibuni sema makocha wetu wanataka kuonyesha wanaweza wakati ndio kwanza tunaanza..
 
Halafu kajamaa kapo mtaani na miwani yake kanaamadisha " TWENZETU KWA MADIBA" badala ya kujiaadhaa na dhoruba itakayowakuta na atafanya machawa wote pale gSM Wawambaratike yeye anahamasisha safari😄😄😄
 
Pacome na yao ni majeruhi siku nyingi tu.. tuliambiwa tuliambiwa kwamba Pacome alicheza mechi dhidi ya CR Belouizdad akiwa majeruhi
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
images (1)-1.jpeg
 
Hiv kwann Simba na Yanga mnahisi mnahitaji favor toka kwa wengine [emoji23][emoji23][emoji23] yan zayid amuache pacome alete madhara kisa Yanga ana game na Mamelod? Hiv mnakula nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kajamaa kapo mtaani na miwani yake kanaamadisha " TWENZETU KWA MADIBA" badala ya kujiaadhaa na dhoruba itakayowakuta na atafanya machawa wote pale gSM Wawambaratike yeye anahamasisha safari[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom