Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?
TFF usiwalaumu kabisa, walikuwa tayari kuiahirisha, ila Ally Kamwe (kiongozi wa Yanga) akasema wao hawataki kudekadeka, wacheze tu. TFF ikasema sawa chezeni!
 
Halafu kajamaa kapo mtaani na miwani yake kanaamadisha " TWENZETU KWA MADIBA" badala ya kujiaadhaa na dhoruba itakayowakuta na atafanya machawa wote pale gSM Wawambaratike yeye anahamasisha safari😄😄😄
Wanapanga safari huku hawajui mechi ya kwanza itakuwaje, wakipigwa 5-0 kuna mtu atakuwa na hamu ya kwenda kweli?

Halafu huko nasikia Bacca naye hatacheza maana ana kadi 3 za njano. Sijui itakuwaje ila nitakuwepo, I'll promise you Barbra!
 
Back
Top Bottom