Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ubuntu Botha, nguvu moja
Azama washenzi sana wale jamaa. Sijui safari hii nani aliwalisha sumu. Walikuwa wazuri tu ghafla wamebadilika kwetu.Mechi baina ya Yanga na Azam imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Ya Kouassi.
Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya au kulikuwa na nia ovu?
Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.
Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?
Stupid kabisa yaani
Hivi nyie Yanga si ndio mliosema mnauwezo wa kucheza mechi kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili ...???Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.
Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?
Stupid kabisa yaani
Pacome ndio mwenye asilimia kubwa ya kucheza kuliko Yao, Pacome yupo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ivory coast na anafanya mazoezi yote na timu.Yao atakuwepo, pacome ndo hatocheza
Pacome ni confirmed kwamba hatakuepo?Yao atakuwepo, pacome ndo hatocheza
Ni kweli ni hao hao waliozima mwendelezo wa SkuduGame plan ya Azam sikuzote ni kuumiza wachezaji wa Yanga pindi wanapokutana.
woteYao atakuwepo, pacome ndo hatocheza
Few days wiki mbili kabla?Hii mechi haikuwa na ulazima kabisa yaani.
Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?
Stupid kabisa yaani