Alafu TFF hao hao na serekali wanakuja na hoja ya uzalendo! Unataka watu wawe wazalendo huku unaipangia Yanga mechi ngumu few days kabla! Like serious?
TFF usiwalaumu kabisa, walikuwa tayari kuiahirisha, ila Ally Kamwe (kiongozi wa Yanga) akasema wao hawataki kudekadeka, wacheze tu. TFF ikasema sawa chezeni!
Halafu kajamaa kapo mtaani na miwani yake kanaamadisha " TWENZETU KWA MADIBA" badala ya kujiaadhaa na dhoruba itakayowakuta na atafanya machawa wote pale gSM Wawambaratike yeye anahamasisha safari😄😄😄