Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea

Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu alikua ni bingwa wa kuiba idea za watu- alikua anaaminiwa na watu wengi walimpelekea idea nyingi kama kawaida akazikataa alafu anakuja kuzifanyia kazi na kudai ni za kwake ukweli ni kwamba hakua na akili hizo

Azam wanasusa ili kupata public sympathy? Kama ni kweli ana haki wamlipe waendelee na kazi, kwani huyo aliyeshinds kesi hana haki kisa kuna wengine wanakufa njaa? Wamlipe wabadili jina waendelee, au wakubaliane nae wanunue haki zake nchi hii tunadeka sana

Azam watafute jina lingine waendeleee na hiyo program ya ngumi sababu hata wakisusa na wao pia watapoteza fedha waache utoto
 
Ishu ni jina la vitasa
Kupigana ngumi si kupo tu
Aendelee nayo hawataki kutumia idea yake kama alivyo sema. Yy sasa ndio awaoneshe Azam kama yupo vizuri kuliko wao Azam, aendeleze Azam walipo ishia.

Azam hawataki hata hiyo huruma kwani wao biashara yao kubwa inayo waingizia pesa ni ligi ya NBC,kama kuna mwengine yupo katokea aendeleze walipoishia Azam.
 
###Mod naomba msiunganishe huu uzi na meingine tofauti na hapo ni bora muufute###

Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea

Hata yule bosi wa mawingu ambaye anasifiwa ana akili ukweli ni kwamba sababu alikua anaaminiwa watu walimpelekea idea nyingi kama kawaida akazikataa alafu akaja kuzifanyia kazi ukweli ni kwamba hakua na akili hizo

Azam wanasusa ili kupata public sympathy? Kama ni kweli ana haki wamlipe waendelee na kazi, kwani huyo aliyeshinds kesi hana haki kisa kuna wengine wanakufa njaa? Wamlipe wabadili jina waendelee, au wakubaliane nae wanunue haki zake nchi hii tunadeka sana

Azam watafute jina lingine waendeleee na hiyo program ya ngumi sababu hata wakisusa na wao pia watapoteza fedha waache utoto
Habari haieleweki.
 
Idea ya ngumi ipo tokea zamani acha upotoshaji
Sasa nimepotosha mimi au aliye wapeleka Azam kwa Pilato au huja msikiliza Patrick Director wa Azam,hiyo statement uliyo andika ungemwambia aliye wapeleka kwa Pilato kwani hiko unacho kisema ndicho Patrick alicho kiongea alivyo hojiwa,kwamba jamaa anapotosha.

Azam hawataki hata hiyo huruma kwani wao biashara yao kubwa inayo waingizia pesa ni ligi ya NBC wameweka zaidi ya 225bil,kama kuna mwengine yupo katokea aendeleze walipoishia alipo ishia Azam.

Yaani mtu aweke 225bil ya NBC, bado kuna Laliga,Series A,Bundasliga kote kaweka mzigo tena mrefu then aje kutafuta huruma kwa mpuuzi mmoja ,ambaye anakuja kuwapa njaa watoto wa kitaa ambao walishaanza kuona mafanikio kwenye boxing.
 
Sasa nimepotesha mimi au aliye wapeleka Azam kwa Pilato au huja msikiliza Patrick Director wa Azam,hiyo statement uliyo andika ungemwambia aliye wapeleka kwa Pilato kwani hiko unacho kisema ndicho Patrick alicho kiongea alivyo hojiwa.

Azam hawataki hata hiyo huruma kwani wao biashara yao kubwa inayo waingizia pesa ni ligi ya NBC wameweka zaidi ya 225bil,kama kuna mwengine yupo katokea aendeleze walipoishia alipo ishia Azam.

Yaani mtu aweke 225bil ya NBC, bado kuna Laliga,Series A,Bundasliga kote kaweka mzigo tena mrefu then aje kutafuta huruma kwa mpuuzi mmoja ,ambaye anakuja kuwapa njaa watoto wa kitaa ambao walishaanza kuona mafanikio kwenye boxing.
Sasa kama ni rahisi hivyo kwanini wasinunue hilo jina la vitasa kwa mmiliki au wasitumie jina lao
Maisha sio marahisi hivyo

Kuna watu wengi sana wameshapeleka idea kwa matajiri wakazikataa alafu baadae wanashangaa zinatumika na kuwaingizia watu hela nyingi
 
Sasa kama ni rahisi hivyo kwanini wasinunue hilo jina la vitasa kwa mmiliki au wasitumie jina lao
Mbona unawalazimisha watu na biashara zao, hivi huoni huyo mpuuzi kaharibu reputation ya Azam kwa vitu vya kipuuzi. Yy aendelee walipo ishia Azam,kwani huwezi kumpangia mtu hela yake ,afanyie nini yy kaona vitasa kwa sasa ana achana nayo,yy mwenye idea aendelee nayo.
 
Waache uwizi sasa kama ana hela ni za ke na familia yake
 
Back
Top Bottom