Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

business idea sio wazo tu kama unavyofikiria ww ni kitu kipana lazima kianishe ni namna gani kitafanyika ili kifanikiwe so kuna vitu vingi. Na lazima ujue hakuna kitu kipya (wazo jipya) kila kitu kishafanyika ila kilichobaki sasa iv ni namna gani hilo wazo lako utalifanya liwe tofauti
Hujaonesha Uniqueness ya idea ya huyo jamaa na walichofanya Azam kwenye mapambano ya Cheka........

All i need uniambie Upekee wa idea ya huyo jamaa ,ila mimi sioni kabisa zaidi kuwapa njaa wana wakitaa ambao washaanza kuona nuru ya mafanikio upande wa boxing.
 
Upekee upo kuanzia kwenye jina ( Vitasa ) na kuna vitu vingine vidovidogo ambavyo wewe huwezi kuviona na ndio maana watu wakaanza kufatilia boxing za bongo kuliko kipindi cha kina cheka, Mashari
 
Hivi unajua hilo jina la Vitasa hata Cosota halipo.....?Au hujasikiliza mahojiano na director ya Director wa Azam.

Hivi mashindano ya kutafuta vipaji vya mziki bongo yako mangapi....... ushawahi kumwona Madam Rita anadai anawadai?Halafu kwenye boxing yeye sio kwanza kuandaa hayo mapambano.

Hamna Uniqueness yoyote ile, haipo tena kabla ya hiyo Vitasa kulikuwa na mapambano mengi.

Azam kuna uwezekano hii kesi hawakuipa kupaumbele mwanzoni kama Magoma kwa Yanga,ila rufaa Azam watashinda na huyo hapati hata senti, tunza huu uzi.

Huu uzi una mahojiano wa Director wa Azam akihojiwa kama upo interested unaweza ukautazama.
 
Mbona unawalazimisha watu na biashara zao, hivi huoni huyo mpuuzi kaharibu reputation ya Azam kwa vitu vya kipuuzi. Yy aendelee walipo ishia Azam,kwani huwezi kumpangia mtu hela yake ,afanyie nini yy kaona vitasa kwa sasa ana achana nayo,yy mwenye idea aendelee nayo.

Kutumia idea y mtu sio kulazimisha biashara.
 
Aendelee nayo hawataki kutumia idea yake kama alivyo sema. Yy sasa ndio awaoneshe Azam kama yupo vizuri kuliko wao Azam, aendeleze Azam walipo ishia.

Azam hawataki hata hiyo huruma kwani wao biashara yao kubwa inayo waingizia pesa ni ligi ya NBC,kama kuna mwengine yupo katokea aendeleze walipoishia Azam.

Ndio maana Azam wameambiwa wamlipe pesa zake kwa kutumia Idea yake bila kumshirikisha.
 
Mbona unawalazimisha watu na biashara zao, hivi huoni huyo mpuuzi kaharibu reputation ya Azam kwa vitu vya kipuuzi. Yy aendelee walipo ishia Azam,kwani huwezi kumpangia mtu hela yake ,afanyie nini yy kaona vitasa kwa sasa ana achana nayo,yy mwenye idea aendelee nayo.

Kumbe wewe huelewi kinachoendelea. Jamaa kapeleka idea Azam, then Azama wakamwambia asubirie. Wakati jamaa anamsubiria anashangaa Azam wanatumia idea yake na Kwa mtiririko aliouandika hadi mabondia. Tena wakawa wanampigia simu kumuuliza wanapoishi mabondia. So jamaa kawashtaki wamlipe fidia kwa kutumia idea yake bila kumshirikisha au kununua idea.
 
Katafuta interview ya Patrick (nimeiweka hapo), hilo wazo lenyewe hata Cosota halipo.Huyo halipwi hata shillingi, kwani sioni Uniqueness ya hilo wazo lake na Azam washakata rufaa.
 
Sio kuachia wamlipe milioni 250. Wamefanya wizi.
Katafuta interview ya Patrick (nimeiweka hapo), hilo wazo lenyewe hata Cosota halipo.Huyo halipwi hata shillingi, kwani sioni Uniqueness ya hilo wazo lake na Azam washakata rufaa.

Kuna uwezekano hata kusota walikaata kulisajili sababu hawajaona Uniqueness ya hilo wazo.
 
Back
Top Bottom