Sasa nimepotosha mimi au aliye wapeleka Azam kwa Pilato au huja msikiliza Patrick Director wa Azam,hiyo statement uliyo andika ungemwambia aliye wapeleka kwa Pilato kwani hiko unacho kisema ndicho Patrick alicho kiongea alivyo hojiwa,kwamba jamaa anapotosha.
Azam hawataki hata hiyo huruma kwani wao biashara yao kubwa inayo waingizia pesa ni ligi ya NBC wameweka zaidi ya 225bil,kama kuna mwengine yupo katokea aendeleze walipoishia alipo ishia Azam.
Yaani mtu aweke 225bil ya NBC, bado kuna Laliga,Series A,Bundasliga kote kaweka mzigo tena mrefu then aje kutafuta huruma kwa mpuuzi mmoja ,ambaye anakuja kuwapa njaa watoto wa kitaa ambao walishaanza kuona mafanikio kwenye boxing.