Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

225 bil acha uongo, au tying errors?
 
Hukuna cha kuharibu reputation hilo ni tatizo lipo hasa kwa hawa wasimamizi wa hizi taasisi, mtu umetulia umeumiza kichwa unaamua kupeleka business idea yako kwenye taasisi na wewe upate chochote kitu hao wa simamizi wanaikataa na kuiponda ili wakuvunje moyo wa kuendelea nayo alafu badae hao hao wasimamizi wanaenda kwa boss kubwa kujifanya wao ndio wanatoa hio bisiness idea ili wapate credit kwa boss kubwa. Hio haikubaliki lazima kila mtu ale kutokana na akili zake na nguvu zake sio kuiba idae za watu ili uonekane wewe kichwa.
 
Hapa jf inaonekana mijadala ya matajiri inatetewa na watu wengi sana hii inaleta picha kwamba malofa hatupendani yaani tajiri akiiba sio tatizo ila hawa kutwa kuponda viongozi na kuwaita majina yote mabaya,Kama mnakusudia kukemea maovu iwe ni kwa kila muovu sio kuchagua pa kusimama,Akili ya halaka inanituma kwamba mnawaponda Ccm kwa sababu pale walipo mnapatamani ila nyie kuwa bakhresa ndo haiwezekani ndo mnaamua kuwa mawakili wake.
 
Hivi Azam kabla ya Vitasa hawajawahi kuonesha ngumi? Hivi unajua Azam walisha cover mpaka mapambano ya Cheka. Sasa Idea mpya ipo wapi? mimi sioni, maana nijuavyo mimi Idea ni inarepresent Uniqueness, sasa Uniqueness ya vitasa na mapambano waliyo ya andaa ya Cheka ipo wapi? au wapi walipo umiza kichwa......? Hebu niambie ww,maana wakati na sikiliza mahojiano hata Cosota wenyewe hawaja sajili hilo jina la Vitasa.

Kweli Azam brand ni kubwa na ina hela,ila private kila hela inayotoka lazima iwe na sababu za msingi na ndio maana wasipo lipa kwa mtizamo wangu ni sawa sababu mimi sioni Uniqueness ya idea ya huyo jamaa.Ndio maana wamekata rufaa.
 
Nakubaliana na wewe , Azam kawaachia waendelee na vitasa vyao
 
Unaongelea nini hapo
 
Vitasa nayo ni idea? Ni kitu generic tu mkuu, unless kuna kitu kinafichwa hatukijui
 
Hku wengi ni vilaza ni kupenda ushabiki ila hamna uhalisia kabisa .
 
business idea sio wazo tu kama unavyofikiria ww ni kitu kipana lazima kianishe ni namna gani kitafanyika ili kifanikiwe so kuna vitu vingi. Na lazima ujue hakuna kitu kipya (wazo jipya) kila kitu kishafanyika ila kilichobaki sasa iv ni namna gani hilo wazo lako utalifanya liwe tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…