Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Azam wana ubabishaji mwingi sana. Walituonesha kale kamechi kamoja tu siku ya ufunguzi; wakapotea mazima. Ukifungua hiyo ZBC2 yao muda mwingi unakutana na Masheikh wao wanatoa mawaidha!!AzamTv walitabgaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro.
Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpk sasa hakuna mechi wameonyesha.
Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Hovyo kabisa!