Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Ila kauli yake haina tofauti na ya sisiem ya kudai wananchi hawahitaji katiba wanahitaji maji ,shule na nk🤔Azim Dewji ni bingwa wa kuongea pumba.
Hujui kwamba huo ni mjomba wa MO,anapiga debe familia kumiliki Simba.Anaweza kuwa sahihi na asiwe sahihi.
Ni 50/50
Sawa tu.Hujui kwamba huo ni mjomba wa MO,anapiga debe familia kumiliki Simba.
Hawa maponjori wameshawaona Simba ni mazamwamwa“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Ila GCCM na Eng wao wanawaona Yanga ni vipanga siyo?Hawa maponjori wameshawaona Simba ni mazamwamwa
Hizi akili za kuzuzu ndio zinafanya mnatawaliwa mielel, na kufirwa.Ila GCCM na Eng wao wanawaona Yanga ni vipanga siyo?
Kwa hali tuliyopitia kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kwakweli tunahitaji furaha tu na hii inaletwa na ushindi katika kila mechi inayokuwa mbele yetu over....“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Wakati Simba inafanya vibaya wanaomba walikuwa wataka nini? Mbona hakusema?“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Kwahiyo ukifirw* wewe unajua kila mtu anafirw*? Endelea kugawa lokundu lokuta.Hizi akili za kuzuzu ndio zinafanya mnatawaliwa mielel, na kufirwa.
Mtu akiisema Simba unadhani ni Yanga.
Pumbavuuui
Kwani hajawahi kuwa mbunge?Mangungu walimpaje uenyekiti jimbo tu lenye idadi ndogo yawatu walimkataa inakuaje simba