Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nakubaliana na wewe. Nyerere alishawahi kuandika kwamba viongozi wamepata majibu mepesi ya mambo yanayowahusu wao... Jibu ni MABEBERU wamesababisha, hivi hata MAUAJI ya kutisha ya October nayo ni BEBERU!Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Wezi wakubwa hawa. Hawana lolote unategemea Dewji.aitakie mema Tanzania waMfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu hali ya maridhiano na maendeleo nchini, Dewji amesema kuwa baadhi ya watu wanataka kuchochea vurugu kwa kusingizia ukosefu wa haki, jambo ambalo linaweza kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa. Ameeleza kuwa rasilimali ambazo Tanzania inazo ni kivutio kwa mataifa yenye nguvu, na umoja wa kitaifa ndio ngao pekee ya kuzilinda.
Akijibu hoja ya baadhi ya wananchi wanaojiuliza namna wanavyofaidika na utajiri wa nchi, Dewji amefafanua kuwa faida ya rasilimali hizo inaonekana kupitia ujenzi wa miundombinu, huduma za jamii na usalama ambao nchi inaufurahia sasa.
Dewji amesisitiza kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya msingi wa kulinda utulivu wa nchi ili kuendelea kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa kila mwananchi.
wanasema kuna rasilimali wakati hata kuwapa watu MAJI SAFI NA SALAMA ya kunywa wameshindwa?????Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
mbona huwa unapotea sana we mjuba? Kuna mijadala mingi huonekani!Yes,
yuko sahihi kwa 100% huyu mzee
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Heluim ya USA itakuwa inatengeneza super profit.
Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu.
sasa hii ina mahusiano gani na walimu kufungiwa ndani ya ofisi za serikali ili kutia tiki kwa SAMIA? hata akapata 98%? ushahidi upo kwani baada ya hapo alikimbilia NGERENGERE jeshini kujifichaChadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo anheingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.
Helium is an extremely significant and critical commodity due to its unique, irreplaceable physical properties and limited supply on Earth. Its monetary value is high and volatile, with prices increasing significantly in recent years due to high demand and supply constraintsTanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.
Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
majukumu tu ndugu mdau ila nipo sana tu,mbona huwa unapotea sana we mjuba? Kuna mijadala mingi huonekani!
Unaweza kunipa chanzo au vyanzo vya hayo uliyoyasema?Nasikia kuna rare metals zimegunduliwa na hawasemi sana. Pia kuna uranium na Helium. Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na Helium inayoptkikana ardhini. USA ndio anaongoza kwa soko la Helium duniani, lakini Helium ya Tanzania gharama zake za production ni 30% ya production yake USA, kiasi kwamba Tanzania isipodhibitiwa basi itaua uzalishaji wa Helium ya USA, ambayo ni industrial Helium. Nadhani hata USA walilazimisha Tanzania kuchelewesha uzalishaji wa Helium yetu, na kama sikosei impepewa kampuni ya USA izalishe Helium hapa nchini ili kutoathiri sokola Helium ya USA. Kwa maneno mengine, kampuni itakayozalisha Helium nchini, kama iauza at par na bei ya Helium ya USA itakuwa inatengeneza super profit.
Kimsingi, kwa kuchimba Helium, Tanzania is going to replace USA as the largest producer of Helium.
Hizi ni baadhi ya sababu zilifanya CCM wakatae katakata kuondoka au ku-risk kuachia uongozi kwa Chadema, hata kama ni kufungulia watu kesi za uhaini au kuua watu. Msimamowaoilikuwa wa-retain uongozi wa nchi by hooks and crooks, hata kama kila mtu anaona wazi wanacheza faulo au wanaiba kura. They just had to win,one way or another.
Chadema angeingia katika hii miaka mitano ijayo angeingia katika mazingira ambayo revenue ya Tanzania iko juu sana, kiasi kwamba watu wangedhani ni kwa ajili ya uongozi ulio bora kuliko wa CCM kumbe ni sababu Chadema wangekuwa na fedha nyingi sana kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya jamii.