PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanzania haina rasilimali zozote zile zinazomezewa mate na mataifa mengine.

Ni propaganda za kipumbavu tu hizo.
Laba wanaongelea serengeti na ngorongoro. Au pale watu wanappjirusha kwenye maji zanziba.
 
Hii nchi ilipofika sasa ni kama ina 'hang hang', kwa mfanyabiashara mwenye status kama yake anatakiwa kuwa makini sana na kila anachokiongea wakati huu.

Tanzania tuliyoijua ilishajifia October 29.
 
Sisi ni masikini wa kutupwa.

Hakuna anayetumezea mate.
Hua ninawaeleza watu hawaelewi. Yaani kama wanakuja hapa nchini labda warudishe ukoloni tuendelee kuwalimia pamba kilazima. lakini chakuchukua hapa sikioni.. Labda matwiga hayo na matembo.
 
Hii nchi siku hizi imekuwa ya kijinga sana. Uchawa umekuwa ni kila kona.
 
Polepole alikuwa mbele ya muda. Si ajabu wanamtandao wakaamua kumteka.
 
Anyamaze tu hatopungukiwa! Yeye ana urais wa nchi tatu yaani Tanzania, India na UK. Hayamhusu kabisa, aendelee kulinda biashara yake ya ngada!
 
Ni uharo gani huu jamani!
 
RAIA FEKI WAMEANZA KUTAPA TAPA BAADQ YA KUBAINIKA ....
 
Sisi ni masikini wa kutupwa.

Hakuna anayetumezea mate.
Hawa watu ni wapuuzi sana! Tanzania ni moja ya nchi 25 masikini sana Duniani. Hizo rasilimali zinasaidia nini na zinamezewa mate na nani. Uchumi wa California ni wa 5 kama si 6 Duniani, nani aje kumezea mate Tz

Wanaposhindwa kujibu hoja wanatafuta viroja. Hivi kudai uchaguzi Huru na wa Haki ni rasilimali!

Tumeshindwa kupeleka maji Ubungo kibangu (siyo Tunduru au Nkasi), I mean KM 15 kutoka Ikulu halafu tunajifaragua na rasilimali, zinatusaidia nini

Azim kaa kimya upate mgao wako wa rasilimali, watu wana maumivu sana waache !

JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…