PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akinyamaza na kuendelea kutafuna tambuu itamsaidia azeeke na kufa vizuri.
 
Huyu ***** wakati mtoto wake ametekwa anakatwa huko na akina bashite na mafwele , wanaharakati ,wanachademA na watanzania wengine wengi ndio walipaza sauti mpaka akaachiliwa huku kaviikwa kanga , enzi za kutekwa kwa Dewji huyu mzee fala angeomba amani nasi haki ya kuachiliwa mwanawe au mwanawe kupewa haki ya kuishi ..............KKumaa la mAmake huyu mzee kilaza
 
Azim ameamua kutotuheshimu wananchi na kuingia kwenye political agenda ambazo yeye anafikiri ni salama zaidi kwake lakini ana upofu wa alama za nyakati. Zitakuja nyakati atatoa mlio na tutamuangalia tu! Tutamkumbusha! Afanye biashara zake alee wajukuu! Siasa za Tanzania ni too complicated!
 
Rasilimali rasilimali bullshit ,tangu lini mbwa Mataahira wa CCM wakawa na uchungu wa rasilimali za nchi hii.? ......... takataka kabisa
 
Rasilimali wakati yanashindwa hata kuwapa watu huduma ya maji ,Rubbish
 
Ni kweli. Kwa machawa tena magabacholi hili ni kweli. Haki ni wao kuendelea kutuibia, kututumia na kutunyonya ukiachia mbali kutubagua na kutudharau. Ashindwe na aregee gabacholi mkubwa.
 
Arudi kwao Bombay akashauri gabacholi wenzie, haoni hata minywele yake tofauti na watanganyika?

Yeye anakwepa kulipa kodi anawahonga pesa viongozi haramu halafu anatubania pua..!! Kasahau mwanae alivyotekwa na kuchezeshwa baikoko??
 
Hawa ndiyo wafaidika wa mfumo wa sasa. No wonder wakati wa JPM walimute.
 

Wewe unazungumxia Helium wakati Mwigulu anayuambia ni Uranium.... which is which?
 
Gen Z awamu ijayo ya maandamano matukufu huyu mzee msisahau kumpa salamu, anzeni kukusanya taarifa za vilipo vitege uchumi vyake maana hana adabu amechoka kuishi nchi hii.
 
Azim.Arudi kwao India mdhulumati mkubwa huyu chawa mzee
 
Wewe unazungumxia Helium wakati Mwigulu anayuambia ni Uranium.... which is which?
Zote, kwanza yule nguin huenda alimaanisha Helium akajichanganya na Uranium, kama wale walioiita petition petro-station!
 
Unaweza kunipa chanzo au vyanzo vya hayo uliyoyasema?

Kama ni stori tu ambazo na wewe ulisimuliwa na mtu au watu, sema tu.
Believe or leave it. Your skepticism is no skin off my nose.

In fact, I suspect when Mwigulu mentions Uranium, it is Helium he has in mind. As a "penguin" he mixes up the two.
 
Hili lizee linafaidika sana na mfumo uliopo. Hawa ndo watu walioshirikiana na mfumo wa ccm kuharibu nchi ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…