Ndio, ila wakati mwingine anaweza kuamini tatizo ni kubwa sana kuliko uhalisia. Mfano, nenda siku kakae mochwari iliyopo hospitali kubwa, unaweza dhani kila mgonjwa aliyeingizwa hosp anakufa. Ndo maana utafiti huwa unatumia sample.Okay tumemtoa, sasa mkuu mtu anayehusika na kitu si ndio anaweza kukuonesha uhalisia wa jambo kuliko aliye nje?.
Tena zimwi kabisa la kutisha, mkuu sad news ni kwamba mabinti wetu wazuri unaowaona wengi mtaani wameharibiana sana na vijana wenzao wala hawapo salama.Daah hii habar imenitisha Sana mkuu
Unakuta unamheshimu mtu kumbe ni shetani mkubwa
Ni sawa ila hili suala la kupata matatizo kwenye mfumo wetu wa uzazi limekaa vibaya sana wewe angalia akili za vijana wetu tu tulionao hapo utaelewa jinsi gani hatuna watu.Ndio, ila wakati mwingine anaweza kuamini tatizo ni kubwa sana kuliko uhalisia. Mfano, nenda siku kakae mochwari iliyopo hospitali kubwa, unaweza dhani kila mgonjwa aliyeingizwa hosp anakufa. Ndo maana utafiti huwa unatumia sample.
Unaweza kuta katika watu 10, wawili ndo wana tatizo na 8 hawana ila hao wawili aliyepo kwenye field ndo anakutana nao kila wakati.
Hahaha mkuu wallah unanipa Raha Sana LeoJamaa anajifanya ana PHD ya Harvard kwenye mambo ya punyeto na kujikamua mwenyewe chumbani, eti mara 5 kila siku mfululizo tangu 2020.
Kwamba ameshusha manii mara 4000 naa kwa miaka miwili na yuko hapa jei efu anaperuzi wala haumwi kichwa wala kupepesuka, tunaingizana mjini sana.
Hicho ni kipare au lugha gani unachomuelekeza mtoa mada.Aadhimia sio azimia....
Hahaha. Hapa sina neno.Ni sawa ila hili suala la kupata matatizo kwenye mfumo wetu wa uzazi limekaa vibaya sana wewe angalia akili za vijana wetu tu tulionao hapo utaelewa jinsi gani hatuna watu.
Mtizame tu mtu kama dronedrake halafu uniambie mtazungumza nae nini productive akakuelewa.
Hahaha unaogopa kurukiwa na damu sio, uwe na siku njema mkuu.Hahaha. Hapa sina neno.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama uko njema programming, aah mbona tutavibe, nikupe repo yangu zenye IoTs kule Git ?Ni sawa ila hili suala la kupata matatizo kwenye mfumo wetu wa uzazi limekaa vibaya sana wewe angalia akili za vijana wetu tu tulionao hapo utaelewa jinsi gani hatuna watu.
Mtizame tu mtu kama dronedrake halafu uniambie mtazungumza nae nini productive akakuelewa.
Leta hizo loTs hapa tuone, utafanya programming gani wewe wakati ukifumba macho unakutana na mniga hana nguo.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kama uko njema programming, aah mbona tutavibe, nikupe repo yangu zenye IoTs kule Git ?
ila kuhusu kuridhisha kiumbe hapana, najiridhisha mimi
Pamoja bossHahaha unaogopa kurukiwa na damu sio, uwe na siku njema mkuu.
sasa mzee kwani nakulaje ? au naishi kwa shemeji ?Leta hizo loTs hapa tuone, utafanya programming gani wewe wakati ukifumba macho unakutana na mniga hana nguo.
Hamshindwi nyie.sasa mzee kwani nakulaje ? au naishi kwa shemeji ?
Wee specialist wa mambo ya usafi na umungu lete evidence[emoji4]Mkuu wewe ni specialist wa mambo ya uchafu na ushetani kwenye sekta hii huwezi ukausifu huu uzi.
Umeongea mengi mazuir,Asante sana kwa kunipa hii heshima mkuu. Am honored kwakweli. Lakin aliekwambia ndani ya akili yako kwamba uniinvite kuchangia hajakosea.
Kitambo kidogo...nilishakuwaga na huu uraibu. Nimeteseka sana kuuacha..sana tu. Kila mtu ana shit ameshawahi pitia in life, well this is mine. Sasa unachokisema si uongo. Porn and Masturbation ina uraibu mbaya sana.
Sikuwaga na feeling na wanaume at all. Ilinipelekea niwe mtu flani nunda sana..extreme. Ikaniharibu saikojia maana always nilitakaga kuwa alone, mwenyewe mwenyewe, kivyangu vyangu. Ikanitengezea fake independence kujiona naweza kila kitu. Imenichukua muda mrefu kuishinda hii tabia.
Side effects: sawa ile ukicome unapata raha maana organs umezistimulate, na ubongo umereceive something you think is nice, lakin sasa shida ni kwamba viungo vya uzazi vinapata effect, ambazo zimeshaandikwa na shida kubwa zaidi ni ya kiroho. Partnership tunazofanya na hawa watu kwenye videoz, spiritual exchange zinazofanyika si kitoto.
Maana unakuwa enticed kufanya na wengi, sasa vitabu vya dini vyote vinakataza zinaa, waganga tu wanakatazaga uchafu hasa kama kuna specific directions kwa kitu unachokitazamia, majini tu ukiwa nao kuna wengine hawataki uzini..likikuvaa halitaki ukito****** ovyo, wewe ni nani?? kila unachofanya unajisikia kuhukumiwa, ukitaka kusali ama swali picha ama clip ya mriah mills, cherokee, sara j, darcie dolce inakujia kichwani alivyokua ananyonywa ndogo huku ananengua..ama nina kayy alivyokua anatwerk huku inaingia..saa ngapi utaswali ama kusali, saa ngapi utawaza maendeleo ndugu yangu. Maana unavyozidi kuwaza, unazidi kutamani, huyooo pornhub, kutafuta ingine yenye mikiki zaidi ili uenjoy.
Hata ukiwa prodctv utafanya asilimia 40 tu na utajiona ooh mbona nafanya kazi napata hela..lakin kiuhalisia umechunda..60 yote unampa bwana shetty. Hatimae sasa tamaa itazidi kuzaa dhambi, utatamani kufanya zaid...ukikutana na mshkaji ama manzi..wewe unataka upractise...na nikwambie hizi sexual fantasies watu tunazo ni porn after-effect, utazila ndogo mwshoe utatatman za wanaume wenzako...mtakataa hapa kwmba laana sijui nini lakin nimekutana na case katika counselling mwanaume ananiambia wazi j...nimechoka wanawake, sikuwah kupata wazo la kula wanaume wenzangu lakin hii porn stuff..na kula wanawake wengi mpaka kuja kuzoea kula ndogo imenipelekea nianze kuwaangalia wanaume wenzangu kwa jicho la pili. Anafaa kunywa vinywaji vikali ili alale maana he is so confused. Alishapata good women maishan mwake lakin kwa sabbu ya huu uraibu hawezi kuishi nao kw amani.
Mungu kasema anatupa akili katika mambo yote..na anatufundisha ili tupate faida, sasa kama tunaengage kwenye hizi addictions..tutasali ama swali kwa nani? Kama alivyonisaidia mimi, akusaidie na wewe ufanikiwe kuachana na hii addiction ili ubetter your life..and kama unaona am bluffing ni sawa..nilikua kama ama zaid yako...do what you like...neno langu si sheria anyways. Mkawe kheri na baraka kwenye maisha yenu yote. One love...
Hizo Ni Siasa,Wanasaikolojia wanadai porn husababisha upungufu wa nguvu za kiume
Tupe jina mkuu mimi nitajitolea kumnunulia dronedrake hata dozi ya mwezi mzima.Kwa walio athirika na punyeto kuna dawa ni nzuri tu na kwa gharama inayowezekana kuimudu kwa kila mmoja.
Kuna mizizi ya mti furani huwa inauzwa kwa bei ya elfu mbili hadi elfu 5,na hii unatumia kwa mda wa wiki moja au mbili inategemea na uzito wa tatizo.
mizizi unaitafuna tu na kumeza maji yake ila inaingia kwenye misuri ya mwili moja kwa moja hadi unaihisi mwilini.Uume unarudi kwenye hali yake ya kawaida .
Mkoani mbeya kuna vijana wanauza mtaani kabisa unakuta ni ni mibichi imetoka porini ,unatafuna tu kama big g,unahisi mwili kusisimuka ndio inakuwa inaingia mwilini hivyo.Ni natural haina madhara,kwa hapa dar sijajua kama ipo pia