Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Yaani siku hizi inabidi niwe naangalia YouTube shorts tu mkuu na huku JFKweli kabis Yani hakika shetani yupo kazini kweli kweli kila Kona yupo kuhakikisha hatuchomoki.
Kama twitter now umekuwa mtanadao WA ovyo Sana,Yani hata kuperuzi mbel za watu unaogopa kwasababu Mda wowote waeza kukutana na picha chafu.
Kuna hao WA watoto wamelala nao no balaa Tu au wall paper thread ni balaa, Mimi huzipitia mbali kabisa kwasababu ukisema ufungue uzi Tu ndo Yale Yale ya kuanza kuangali picha chafu.
Hali ni mbaya Sana Shetani mtu kazi yupo kazini
Kuquite kabisa ni changamoto ila unaweza kukaa muda mrefu bila kujilipua.Kuacha kuangalia video za ngono na kupiga nyeto Ni shughuli pevu Sana.
Punyeto ndio balaa lenyewe Sasa yaani kuacha hii labda ufe tu jamani.
Ahsante sana kwa kunitia moyo mkuu.Mkuu Kwanza hongera sana Kwa kupambana mpaka kufikia hapo,komaa na kamwe usije kurudi nyuma ulipofikia ni pazuri Sana.
Kaza buti na azimia kabisa iwe mvua iwe jua hakuna kurudi nyuma
siyo pirates-ii-stagnetti-s-revenge ya Evan Stone ?Yeah hiyo hiyo kuna njemba zinapiga mbupu kama zimelogwa
😂😂😂😂 Dah acha tu hii ni kazi kama kazi nyingineDah kumbe watu mko serious hivi 😂
Ewaaah huyo huyo kuna vidada vinapigwa pipe hatar,Evan Stone mtu na nusu 😆siyo pirates-ii-stagnetti-s-revenge ya Evan Stone ?
Hapana zambi zote Tunatakiwa kuzikimbia ili tumake peace na Mola wetu.Kwa hio unachagua dhambi, Yani unazini, unasema uongo ila nyeto ndo unaona Ni dhambi tu
Ni sawa na wengine unakuta anasema uongo,anatembea na wake za watu, anafanya uzinzi ila kula kitimoto anaona ndo dhambi
Huweza ukawa sahihi kwa muktadha huu,zambi ya kuua ni miongoni mwa madhambi makubwa ambayo moja Kwa moja mwisho wake ni Motoni tofauti na Kula mdudu.Muislamu yupo tayari kupata dhambi ya kuua lkn sio dhambi ya kula kitimoto.
ahahhaa napokaa niko na access ya wifi muda mwingi, nimecheki sana porn za twitter badae nikasema enough sasa nikafuta app kabisa , saivi nikitaka kwenda twitter natumia pc maana twitter na telegram ni balaa sanaUnaazimia kuacha kuangalia ile unaingia Twitter unakutana na thread za watoto wameshalala, ukienda insta unakuta mademu wanatwerk, ukienda Telegram unakutana na group au channels za pisi kali.
Basi unasema unazima data jirani yako anakutega makusudi tu. Au umelala usiku unasikia chumba cha jirani mwanachuo kaleta demu.
Mradi tu na wewe ufanye dhambi zisizo za lazima
Kama mkuu umeweza kutoangalia mara Kwa mara upo katika stage nzuri ya kuacha kabisa mkuuSiangalii routinely kama zamani, but occassionaly nachungulia mikito ya hapa na pale...
Ukitaka uache nyeto basi lazima uwe na uhakika na pa kukojolea..
Hongera mkuu endelea kujaza butiKuquite kabisa ni changamoto ila unaweza kukaa muda mrefu bila kujilipua.
Binafsi kwa sasa naweza kaa hafi mwezi sijajilipua na sasa hivi maendeleo ni makubwa sana sana
Kuacha chief ni muhimu Sana kwasas hivi unaweza usione athar yoyote lkn baada ya muda ndio utaona balaa lake.Na kama nikiangalia sioni lolote baya mbele yangu kuna haja ya kuacha chief??
Huu Uzi umekaa vibaya kwasababu ni ugonjwa unao waathir watu wengi Sana mkuuUzi mzuri ila umekosa wachangiaji kabisa sijui kwanini.
Yaani watu wanaupita Kama hawajauona vile.
Naweza kusema inategemeana na mtu kaathirika kiasi gani?How long inachukua mtu aliyeathirika na nyeto mpk mtu uume kurudi kuwa imara?
Nyeto ni janga, porn zinavutia...ila kila kizuri kina hasara!
Kiathirika Sana inakuwajeNaweza kusema inategemeana na mtu kaathirika kiasi gani?
Lakini
Kama alishaathirika Sana hiyo nitolee mkuu Kwa maana miundo mbinu imeharibika anabaki kujutia nafsi yake