Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

bvll$hit huko ndoani ndiyo kunanuka HIV, mume ana michepuko kadhaa, mke ana michepuko kadhaa
na bahati mbaya wanandoa wanasex bila ndom maana ni wanandoa

njoo mtaani huku, wake za watu wanauza uchi kweupee bila kupepesa macho na wanakupa na bei kabisa ukipata umcheki, hapo mme yuko kazini
mme anarudi ana kojolea papuchi ambayo mchana imetumika yenye muhuri wa Gridi, baada ya miaka 2 tayari OIs zinashika hatamu,
Huyo ni malaya tayari
 
Kina Elon musk wote wanaangalia porn ....

Asilimia kubwa ya wafanyakazi marekani ,wanatumia PC z kazin kuangalia porn ...
Kwahiyo mkuu unataka kutuambia kuwa kwasababu wao wanaangalia na Sisi tuangalie au
 
Wakuu tumieni hii kitu itawasaidia

Chukua vitunguu swaumu punje8, tangawizi kubwa 1, twanga kwa pamoja ndani ya chombo.

Weka maji ndani ya mchanganyiko ila hakikisha iwe kali na uchemshe, tumia kutwa mara2 au 3 kwa siku.

Majibu utayapata ndani ya wiki 1,2 mwisho ni 3. Acha nyeto, kuangalia x na usifanye tendo la ndoa wakati unatumia dawa.

Nitatoa dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto na kuboresha nguvu za kiume
Itakuwa vizur uwasaidie wahanga WA hilli tatizo
 
Kwa walio athirika na punyeto kuna dawa ni nzuri tu na kwa gharama inayowezekana kuimudu kwa kila mmoja.
Kuna mizizi ya mti furani huwa inauzwa kwa bei ya elfu mbili hadi elfu 5,na hii unatumia kwa mda wa wiki moja au mbili inategemea na uzito wa tatizo.

mizizi unaitafuna tu na kumeza maji yake ila inaingia kwenye misuri ya mwili moja kwa moja hadi unaihisi mwilini.Uume unarudi kwenye hali yake ya kawaida .

Mkoani mbeya kuna vijana wanauza mtaani kabisa unakuta ni ni mibichi imetoka porini ,unatafuna tu kama big g,unahisi mwili kusisimuka ndio inakuwa inaingia mwilini hivyo.Ni natural haina madhara,kwa hapa dar sijajua kama ipo pia
Shukrani mkuu itawasaidia wengi
 
Daah nimetoboa wiki sasa ila huu uzi umeniangusha tena kwenye hili dhahama
 
Kati ya vitu siwez acha ni kutazama pono na kupiga nyeto. Semeni muwezavyo.
Kwani Sisi tunashida mkuu ?

Endelea na starehe zako na furahia Mda wako, kuna siku utatukumbuka
 
Na njia nyingine natural ambayo mtu ambaye anakojoa haraka anaweza kufanya ni kufanya zoezi hili.

Msione tunazungumzia haya Bila sababu,ndoa nyingi zinavurugika kwakuwa wanawake hawapati dozi Yao kikamilifu na ndio maana huamua kutoka nje kutest zali Kwa wadau wengine.

Kuna mwanamke mmoja alisikika akisema wanaume wengine wanakutreat vizur wanakupeleka hotel nzur na sehemu nzur lkn ukiwa nao geto bao moja halafu chali, lkn akasema kuna wahuni Tu/masela ukiwa nao geto wanasugua papuchi mpaka unafeel yes.

Kwahiyo ili kuondoa hizi aibu ndogo ndogo punyeto iachwe

Anyways kama unatatizo la kukojoa haraka fanya hivi, piga punyeto halafu ukijisikia unataka kukojoa unaacha,unakaa kidogo unajichua tena ukitaka kukojoa unaacha kwa kufanya hivyo baada ya Mda fulani utaacha kukojoa mapema na kupiga show za mandonga mtu kazi
 
Na njia nyingine natural ambayo mtu anakojoa haraka anaweza kufanya ni kufanya zoezi hili.

Msione tunazungumzia haya Bila sababu,ndoa nyingi zinavurugika kwakuwa wanawake hawapati dozi Yao kikamilifu na ndio maana huamua kutoka nje kutest zali Kwa wadau wengine.

Kuna mwanamke mmoja alisikika akisema wanaume wengine wanakutreat vizur wanakupeleka hotel nzur na sehemu nzur lkn ukiwa nao geto bao halafu chali, akasema lkn akasema kuna wahuni Tu/masela ukiwa nao geto wanasugua papuchi mpaka unafeel yes.

Kwahiyo ili kuondoa hizi aibu ndogo ndogo punyeto iachwe

Anyways kama unatatizo la kukojoa haraka fanya hivi, piga punyeto halafu ukijisikia unata kukojoa unaacha,unakaa kidogo unajichua tena ukitaka kukojoa unaacha kwa kufanya hivyo baada ya Mda fulani utaacha kukojoa mapema na kupiga show za mandonga mtu kazi
Wahuni ndo wanapiga nyeto sasa yani swala la kumwaga upesi nyeto isihusishwe watu na majukumu ya kazi +biashara mawazo saa ngapi ataweza kukamia ila hawa wahuni wakimbiza mwenge mtu hana kitu inampa mawazo kwann asisuguee mpakaa
 
Ushauri wangu kwa watu mnaopoteza mzuka ukiwa na mke au mwanamke yeyote usilazimishe tafuta ambae atakupa mzukaa piga kazi ....
 
Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo.

Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu pekee au ujanja wetu ambao unatuwezesha kutimiza malengo yetu pasina msaada wake.

Lakini tutakuwaje karibu na Mola wetu wakati kila siku tunaangalia mambo ya haramu?

Na mambo hayo ndio hutuhamasisha zaidi kufanya zinaa, kwasababu porn ina kawaida ya kumfanya mtu apate matamanio ya Hali ya juu na mwisho wake anaishia kuzini.

Porn ndio inayohamasisha watu kufanya mapenzi kinyume na maumbile, watu wengi sana siku hizi kutokana na kuathirika na video za ngono katika mitandao wamejikuta ni wahanga wakubwa wa kutaka kujaribu mambo ambayo huyaona huko katika porn.

Tubadilike ndugu zangu porn zinatuweka mbali na utukufu wa Mola wetu, kuangalia utupu ambao sio WA mume wako au mke wako ni haramu na INA mchukiza Sana muumba wetu.

Lakini hata ukija katika mazingira ya kawaida Tu, porn huwafanya watu kuwa tegemezi kwenye ngono, yaani hata akiwa na mkewe au mumewe ndani basi hawezi sisimka mpaka avute hisia za kwenye porn ndio aweze kupata hamasa na hamu ya Kula tunda na mwenza wake,je huo sio utumwa WA hisia?

Na humpunguzia hamu ya kuwa na mwenza wake pia, just imagine kila siku unaangalia utupu wa wanawake wangapi tena wa Aina mbali mbali, matokeo yake hata mkeo akiwa mtupu faragha na wewe hakuna kipya kwake kwasababu unaangalia za walatino, wabrazil, wachina, wahindi na listi inaendelea.

Vile vile porn iko na uraibu mkubwa Sana, yaani unakuwa Teja kiasi ambacho ukiwa Peke yako unatamani kuangalia huo uchafu, kuna mtu siku moja alionwa anaangalia porn ndani ya daladala, ebu just imagine mpaka unafikia kuangalia hayo madudu katika usafir WA umma ujue wewe tayar ni Teja la 5G.

Nadhani mnakumbuka Kule mjengoni kuna mbunge alionekana katika cctv camera yupo bungeni watu wanachangia mijadala lkn yeye anaangali porn.

Huu uraibu ni mbaya Sana,na ndio huwafanya watu kujichua kufanya masterbation na matokeo yake baada ya Mda mishipa ya uume hulegea na kuwafanya vijana kukosa nguvu za. Kiume.

Kuacha Kuangalia Porn ni Vita kubwa kuliko hata ya mrusi na Ukraine,inahitaji upambane haswa kushinda hizo temptation za kuangalia hayo madudu na hasa kama umekuwa na uraibu mkubwa.

Utaepuka mambo mengi Sana yenye kuzuru nafsi yako na mwili wako kama utafanikiwa kuacha kuangalia porn movies.

Weka Nia thabiti na azimia kwa nafsi yako na moyo wako wote kuwa no mor e porn 2023.

Mungu awabariki Sana.

Nawapenda Sana.

Kutoka kwangu ETUGRUL BEY

Ni hayo Tu!

Sodoma na gomora waliangamizwa kwa sababu ya vitendo hivyo je na wao walikuwa wanatazama porn?
 
Kuna washikaji walikuwa wanaambiana khs porn fulani walioiangalia kwa wakati tofauti, sasa wanavoambiana utadhani ni movie flani hv
Kuna rafik yangu mmoja mtu wa heshima zake daktari na ni mtu wa dini tu mzuri.

Katika story za hapa na pale nikamuomba ushauri namna ya kuacha kutazama hizo uchafu.
Nilikuja kugundua ninaomba ushauri kwa legendary kwani alikuwa anawajua hadi kwa majina na akasema hakuna video mpya asiyoijua pale na anatamani aache ila anashindwa. Ebwana wee nilicheka kama mazuri.

Namshukuru mwenyezi Mungu nishapona huo ugonjwa siku nyingi.
 
Sodoma na gomora waliangamizwa kwa sababu ya vitendo hivyo je na wao walikuwa wanatazama porn?
Hawakuwa wanatazama porn lakini wao walikuwa makonki Kwa mambo machafu mpaka Mungu akaamua kuwaangamiza

Ila

Sisi ndio wachafu zaidi kwasababu huu uchafu unaeneo dunia nzima kwa uwezo wa internet
 
Kuna rafik yangu mmoja mtu wa heshima zake daktari na ni mtu wa dini tu mzuri.

Katika story za hapa na pale nikamuomba ushauri namna ya kuacha kutazama hizo uchafu.
Nilikuja kugundua ninaomba ushauri kwa legendary kwani alikuwa anawajua hadi kwa majina na akasema hakuna video mpya asiyoijua pale na anatamani aache ila anashindwa. Ebwana wee nilicheka kama mazuri.

Namshukuru mwenyezi Mungu nishapona huo ugonjwa siku nyingi.
Kwanza hongera kwa kupona na hii inaonyesha kuwa kila kitu kinawezekana kama ukiwa na dhamila njema.

Pole Sana ulienda kuomba ushauri Kwa shetani. (Shetani ni Jambo ovu au mtu muovu au mapepo)
 
Na njia nyingine natural ambayo mtu ambaye anakojoa haraka anaweza kufanya ni kufanya zoezi hili.

Msione tunazungumzia haya Bila sababu,ndoa nyingi zinavurugika kwakuwa wanawake hawapati dozi Yao kikamilifu na ndio maana huamua kutoka nje kutest zali Kwa wadau wengine.

Kuna mwanamke mmoja alisikika akisema wanaume wengine wanakutreat vizur wanakupeleka hotel nzur na sehemu nzur lkn ukiwa nao geto bao moja halafu chali, lkn akasema kuna wahuni Tu/masela ukiwa nao geto wanasugua papuchi mpaka unafeel yes.

Kwahiyo ili kuondoa hizi aibu ndogo ndogo punyeto iachwe

Anyways kama unatatizo la kukojoa haraka fanya hivi, piga punyeto halafu ukijisikia unataka kukojoa unaacha,unakaa kidogo unajichua tena ukitaka kukojoa unaacha kwa kufanya hivyo baada ya Mda fulani utaacha kukojoa mapema na kupiga show za mandonga mtu kazi
Nimefuatilia uzi wako pamoja na comments zako mwanzo mpaka mwisho.

Ni ushauri mzuri unautoa wa kusaidia vijan wadogo mpaka wakubwa.

Nimewahi ingia Tanesco tumepanga folen kuja jamaa amevaa magwanda ya ccm yupo mbele yng nakuta anaperuzi website ya porn, nilishangaa sana.!

Kwa kuongezea mawazo yako nafikiri tushauri vijana waoe ilimradi tu umebarehe yaani miaka 18, 19 mpaka 20 oa ili kuzuia haya majanga.
Ukizidisha umri huo hujaoa yaani huna pa kupunguzia shahawa zako, believe me huwezi kukwepa punyeto hata Kama unamiliki nokia kitochi na hujui kama kuna websites za ngono.

Mfano mimi mwenyw nilianza darasa la sita from no where lkn nilikuja kuacha baada ya kuoa.

Ukweli ni kwamba sisi afrik tuna aminisha vijana wetu kuoa wakiwa wamejenga, wana pesa ya kutosha mara at least miaka 28 mpaka 35 mtu bado anatafuta maisha kuoa kakuwek kando, utaponea wapi punyeto weweeee.!!

Kwa hiyo tujikite kuona sababu ni nini na kushauriana.
Mi mwanangu akifikisha miaka 18 hata kama yupo shule nashauri aoe maana atanidanganya kwamba hana mihemko, wazungu pia ni mfano mzuri wao age 15 tayari ana sehemu ya kukojolea.
Hayo ma punyeto atayatolea wapi na ma porn??
 
Back
Top Bottom