Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Hao USA hawatofanya kitu zaidi ya kupiga kelele tu, na hizi kelele ni za kutuaminisha sie kwamba wanajali kumbe hawana ishu. Baadae watashirikiana nae kama kawaida tu.
 
Achana na wao zungumzia madikteta wako ambaye ameyaweka rehani maisha yako ambae inatakiwa washughulikiwe...... Mambo ya US sisi yanatuhusu nn?

Hivi kauli yake hii ya kishetani haitoshi kumpeleka the Hague kweli....??
We all see the same, but we differ in interpretation. What you see, read or here is the same...but what we make of it clearly differs..

Based on that .. and a spirit of democracy that governs us, I expect you to respect my views as I do yours. You believe he is a dictator and he should be prosecuted.. I think you have every right to think so.. after all you are a grown-up.

But also in the same spirit I believe you have to respect there are us who believes he is a great leader and he should be celebrated.

Our exchange shouldn't be " You are wack and wrong for thinking differently" but more centered around WHYs and HOWs to enlighten other parties.

If you can't convince and run for military solutions then the infamously preached "Democracy Ideology" ceases to exist. Because it will be a forceful exertion of ideas upon free thinking people.

Which brings me to a conclusion, there will NEVER be "absolute democracy" in the world, because Our human nature is "survival for the fittest" and the powerful will always rule.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Not me.... am happy .. CCM is happy
JPM is happy

Viva Magu 2020 to 2030
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
Sawa bro il la punguza blabla kuandika sn haina maana ndio unasema ukweli....
Hapo zaidi naona unajishawishi mwenyewe
 
Kiitkio; tumeibiwa kura.

Viva Magu 2020 to 2030
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
This is next to rubbish.
 
Wamesha ambiwa uchaguzi huu utakuwa huru, wa haki, wa uwazi na wa kushirikissha watu au wadau wote ikiwa ni pamoja na Watazamaji wa Nje, EU ikiwamo, UN ikiwamo na some institutions from USA! Wanataka nini Zaidi ya uhakikisho huo. Wastaarabu SIKU ZOTE WANA AMINIANA!
 
Kiitkio; tumeibiwa kura.

Viva Magu 2020 to 2030
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

Viva Magu 2020 to 2030
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
 
Mwenyekiti wa chama chako ni Afisa wa serikali...

Lissu kafungiwa kashindwa kutoa tamko kali.

Waumini mko bize kutukana mitandaoni

Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Magufuli ndio anaefanya yote hayo,kupindisha haki,kuwaminya wapibzani,sasa ulitegemea kusema kwake alimaanisha au ulikuwa ni unafiki tu
 
Mwenyekiti wa chama chako ni Afisa wa serikali...

Lissu kafungiwa kashindwa kutoa tamko kali.

Waumini mko bize kutukana mitandaoni

Viva Magu 2020 to 2030

Kwamba jiwe hadi 2030 mmedhamiria kweli kubadili katiba.

Si wa kuwapa nafasi hiyo.
 
si haki yetu wananchi boss?
Tuna uhuru wa kupendekeza na sisi wananchi kuamua
msiwe madikteta ....
.Viva Magu 2020 to 2030
Kwamba jiwe hadi 2030 mmedhamiria kweli kubadili katiba.

Si wa kuwapa nafasi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…