Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikishindikana,wafateni uko kwao wakawasaidie vizuri.Kabisa....
We all see the same, but we differ in interpretation. What you see, read or here is the same...but what we make of it clearly differs..Achana na wao zungumzia madikteta wako ambaye ameyaweka rehani maisha yako ambae inatakiwa washughulikiwe...... Mambo ya US sisi yanatuhusu nn?
Hivi kauli yake hii ya kishetani haitoshi kumpeleka the Hague kweli....??
Sure..... But under this regime every one is crying
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....Not me.... am happy .. CCM is happy
JPM is happy
Viva Magu 2020 to 2030
Sawa bro il la punguza blabla kuandika sn haina maana ndio unasema ukweli....We all see the same, but we differ in interpretation. What you see, read or here is the same...but what we make of it clearly differs..
Based on that .. and a spirit of democracy that governs us, I expect you to respect my views as I do yours. You believe he is a dictator and he should be prosecuted.. I think you have every right to think so.. after all you are a grown-up.
But also in the same spirit I believe you have to respect there are us who believes he is a great leader and he should be celebrated.
Our exchange shouldn't be " You are wack and wrong for thinking differently" but more centered around WHYs and HOWs to enlighten other parties.
If you can't convince and run for military solutions then the infamously preached "Democracy Ideology" ceases to exist. Because it will be a forceful exertion of ideas upon free thinking people.
Which brings me to a conclusion, there will NEVER be "absolute democracy" in the world, because Our human nature is "survival for the fittest" and the powerful will always rule.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huko huko ndio wapiIkishindikana,wafateni uko kwao wakawasaidie vizuri.
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
This is next to rubbish.Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."
Limepitishwa nchini Marekani kusihi serikali ya Tanzania na wadau wote wanaohusika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 nchini Tanzania kufuata haki za binadamu, katiba ili kuhakikisha uchaguzi utakuwa wa huru na haki hapo mwezi Oktoba 2020. Tamko hilo limeonekana kukemea baadhi ya vitendo vya Serikali ya Tanzania tangu mwaka 2015 vyenye viashiria vya kuvunja haki za wananchi wa Tanzania.
Moja ya madai ya azimio hilo ni kwamba:
1. Serikali ya Tanzania imezuia ukusanyaji huru wa takwimu, utoaji wa takwimu
2. Serikali ama watendaji wa serikali wamekuwa wakitishia, kushambulia na kukamata wanahabari na kutokujali wanahabari waliopotea.
3. Serikali imezuia wanasiasa kufanya shughuli zao za kisiasa kuanzia mwaka 2016 mpaka 2019 kinyume na katiba ya nchi.
4. Serikali imedhibiti uhusiano wa taasisi zisizo za serikali NGO na taasisi nyingine zilizopo nje ya nchi kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa mnamo September 2019.
5. Viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipotea vitisho, kushambuliwa na serikali kushindwa kuwakamata watenda makosa.
View attachment 1573603
View attachment 1573916
View attachment 1573915
View attachment 1573916
Soma zaidi:
Tanzania yaihakikishia Marekani uchaguzi utakuwa huru | DW | 09.09.2020
Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini
Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa
Wamesha ambiwa uchaguzi huu utakuwa huru, wa haki, wa uwazi na wa kushirikissha watu au wadau wote ikiwa ni pamoja na Watazamaji wa Nje, EU ikiwamo, UN ikiwamo na some institutions from USA! Wanataka nini Zaidi ya uhakikisho huo. Wastaarabu SIKU ZOTE WANA AMINIANA!Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."
Limepitishwa nchini Marekani kusihi serikali ya Tanzania na wadau wote wanaohusika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 nchini Tanzania kufuata haki za binadamu, katiba ili kuhakikisha uchaguzi utakuwa wa huru na haki hapo mwezi Oktoba 2020. Tamko hilo limeonekana kukemea baadhi ya vitendo vya Serikali ya Tanzania tangu mwaka 2015 vyenye viashiria vya kuvunja haki za wananchi wa Tanzania.
Moja ya madai ya azimio hilo ni kwamba:
1. Serikali ya Tanzania imezuia ukusanyaji huru wa takwimu, utoaji wa takwimu
2. Serikali ama watendaji wa serikali wamekuwa wakitishia, kushambulia na kukamata wanahabari na kutokujali wanahabari waliopotea.
3. Serikali imezuia wanasiasa kufanya shughuli zao za kisiasa kuanzia mwaka 2016 mpaka 2019 kinyume na katiba ya nchi.
4. Serikali imedhibiti uhusiano wa taasisi zisizo za serikali NGO na taasisi nyingine zilizopo nje ya nchi kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa mnamo September 2019.
5. Viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakipotea vitisho, kushambuliwa na serikali kushindwa kuwakamata watenda makosa.
View attachment 1573603
View attachment 1573916
View attachment 1573915
View attachment 1573916
Soma zaidi:
Tanzania yaihakikishia Marekani uchaguzi utakuwa huru | DW | 09.09.2020
Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini
Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa
Sifa za misukule ya lumumba.....Kiitkio; tumeibiwa kura.
Viva Magu 2020 to 2030
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
Sifa za misukule ya lumumba.....
Corruption, hate, tribalism, undugunization, vandalism, impersonification etc are normal acts of ccm and their chairman.....
Tanzanian have said enough is enough...... Tundu Lissu is our president
Magufuli ndio anaefanya yote hayo,kupindisha haki,kuwaminya wapibzani,sasa ulitegemea kusema kwake alimaanisha au ulikuwa ni unafiki tuMagufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Mwenyekiti wa chama chako ni Afisa wa serikali...
Lissu kafungiwa kashindwa kutoa tamko kali.
Waumini mko bize kutukana mitandaoni
Viva Magu 2020 to 2030
Kwamba jiwe hadi 2030 mmedhamiria kweli kubadili katiba.
Si wa kuwapa nafasi hiyo.
si haki yetu wananchi boss?
Tuna uhuru wa kupendekeza na sisi wananchi kuamua
msiwe madikteta ....
.Viva Magu 2020 to 2030
Endeleeni kumdanganya alimradi miamala inasoma buku 7.
lazima 7 ziwaume... DJ anakula peke yake.
Viva Magu 2020 to 2030