Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Jiwe na CCM yake wanataka kuifanya Tanzania iwe Zimbabwe nyingine. Hii ya kunyooshewa vidole haiko salama Sana!
 
Anayekunyaga akiwa hasikii lazima upige kelele ili majirani waje kukusaidia.. hii ni fomula ya kawaida kabisa mkuu.

Hawa bado ni majirani wema,wamewekeza hela za walipa kodi wao hapa nchini hadi leo tumewawekea na mabango ya msaada wa watu Marekani.
It's not. About the size of a dog in the fight.. But the size of the fight in the dog.

Ukija kiboya na mawazo kama haya utaishia kupewa mrahaba wa asilimia 3 na mali ni yako.. na kupangiwa matumizi juu..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"Baraza la Wawakilishi la Marekani Linahimiza Serikali ya Tanzania kuhakikisha kuwa uchaguzi wa 2020 unafanywa kwa njia huru, ya haki, ya kuaminika, ya uwazi na amani inayowezesha raia wa Tanzania fursa ya Kikatiba na haki yao ya kupiga kura! "
 
Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Why tume inawapitisha ccm bila kupingwa,
Why kada ccm ambae Ni mkurugenzi wa tume anatishia kuwasitishia kampeni wengine
 
Nani alimzuia Ndugai kuja na bill ya kuionya Marekani.
 
Wapewe jukumu la kuingilia nchi yeyeto yenye viashiria vya uvunjifu wa haki za watu ili kuiepusha dunia gharama za kuhudumia wakimbizi.
Si amewaita mabeberu mwenyewe. Ngoja wamuoneshe sasa mwaka huu!!
 
Acha upumbavu wewe! Kwahiyo unaweza kumuua mtoto wako huku jamii ikikuacha tu kwakuwa ni mtoto wako? Hiki ndicho polepole kawatuma kuja kutetea ujinga?
You are such a fool! Who can't hide his emotions when constructing an argument.

Nikuondoe shaka . I am a man of my own! Na sijifichi ukinikuta nitakwambia haijalishi wewe ni nani, Situmwi. Nafanya kwa matakwa yangu.

Pili kuwa mwanaume... Ukihisi unaonewa pigania heshima yako.. infact namuheshimu Sana mtu anayejisimamia na anayesema kwa uwazi bila woga anapokwazwa na sio lazima ashinde ila awe genuine na ready to risk it all for what s/he believe... Sio wanafiki wanaongoja mpaka jirani awasemee.

Swala la wewe kuua mwanao, its such a childish argument.. you have heros you worship they did just that.fir a greater good.. and there so many scenarios that might make it right fir you to kill your own son FYI.

Ufikirie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayawahusu....
Kwa kuwa wewe unajua Rais wako mpendwa hana uwezo wa kuwajibu Wamarekani hata kwa neno hilo moja, badala ya wewe kuwajibu Wamarekani humu jf kuuonyesha ujinga wako, kwa nini hujamshauri ajibu yeye kutumia neno hilohilo na uteuzi ukapata? Neno lingekuwa zito zaidi kutoka kwake kuliko kutoka kwa kilaza wa kijiweni.
 
Hivi kwenye ripoti wamemtaja magufuli mara ngapi vile?
 
Doh.. jambo la kujivunia hili. Kama bunge la Amerika linakaa na kuweka azimio la kujadili uchaguzi wa Tanzania ni jambo la kujivunia, imeonesha ni jinsi gani Tanzania ilivyo juu hapa duniani. Ni nchi chache sana ambazo Amerika inafatilia chaguzi zake kwa kuziwekea azimio ndani ya bunge lao. Wanaweka mbele uchaguzi wa Tz kuliko wa kwao.
 
Na wao wana uchaguzi, sijui tunakwama wapi kutoa tamko juu ya uchaguzi wao uwe wa haki na amani.
 
Ukiona wanakufuatilia juwa uko kwenye target yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…