Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Hali huwezi fananisha Zimbabwe na Tanzania.
 
Hapana tunahitaji majeshi ya nje kutusaidia kama ilivyokuwa Iraq na kwingineko kabla mambo hayajawa mazito zaidi, kweli nchi imeporwa kijanja na watu wanaojifanya wazalendo kumble majizi makubwa.
 
cc: Carleen
Khantwe

Hahahahahahahahahaahahahaaa. Unakuta huyu ndio mkurugenzi wa elimu ya sekondari pale wizara ya elimu
 
Kuna mgombea nimeona video kazidisha muda kakataa kushuka jukwaani na eti linajigamba lipo tayari kwa lolote
Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.
 
Hapana tunahitaji majeshi ya nje kutusaidia kama ilivyokuwa Iraq na kwingineko kabla mambo hayajawa mazito zaidi, kweli nchi imeporwa kijanja na watu wanaojifanya wazalendo kumble majizi makubwa.
Kesho uje na mrejesho wa hali ya sasa ya huko Iraq, Afghanistan, Libya nk

Mwenzio akinyolewa!???? Wewe tia Maji.

Kalaghabao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Snowden yuko wapi? Acha kudanganyika kirahisi hivyo!
Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.
 
Wanatamani wasimamie uchaguzi huu kumsaidia mchumba wao ashinde.
Watanzania, tuungane kumkataa IBILISI CCM kwa nguvu zetu zote. Changamoto zote zinazoikumba nchi yetu kwa sasa, chanzo ni hawa WAHUNI, WATEKA NYARA, Kubambia watu kesi zisizo na dhamana, kutawala kwa MABAVU kwa kuitupilia mbali KATIBA YA WANANCHI, na upuuzi mwingine mwingi tu.
 
Natoa amri kwa Serikali ya Marekani kuhakikisha Uchaguzi wao utakuwa Huru na haki ,

Hatutaki kusikia tena Urusi ikishutumiwa kuingilia Uchaguzi wao.
 
Hivi Kuna watu wanaamini kutakuwa na uchaguzi huru na haki? Kukatwa kwa wagombea wa ubunge ni kielelezo Tosha kuwa wapinzani hawatatangazwa washindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…