Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Lete sasa historia yako ww ya ukweli zaidi ya hiyo Mzee Mohamed Said na sio maneno matupu na kashifa za kitoto
Hoja zako umezigeuza ushakuwa popo au huyo mzee ni bwana wako nini? Historia zishawekwa na wenyewe na zipo hivyo kutaka kuja kudanganywa kipumbavu akadanganye wanawe na wajukuu zake na wewe pia mmoja wao.. So me sina kashfa hoja zangu zinasimama wewe ndio una utoto kwangu... Pia huna hoja za kukufanya kuchomeka hoja dhidi yangu juu ya upotoshaji Wa history inayoletwa na Mo Said
 
Nafikiri utaki kunielewa ndugu yngu lete hiyo historia yako ya Uhuru wa nchi hii tofauti na hiyo
 
Wajing Wa humu wamekazia kumtetea mtu muongo na hatari ujinga na uongo anao uandika humu ni hatari sana kihistoria na nilijua keshashikwa atakwepa majibu mwishowe atatoa matusi ndio formula ya mtu muongmuongo... Ati Aziz Ali ndie mwafrica Wa kwanza au mtanganyika kununua gari na kujenga nyumba ya vigae! nilikuwa namsubiri ataje mwaka nimuumbue kakwepa kujibu hivyo thread yake hii ni hizo mtupu haiwezi kuwa history yenye uongo ndani... Tusiwe wapumbavu kumtetea mtu muongo

Duduwasha kama Wewe unayo history ya ukweli iweke hapa.Kama huna usitukwaze au anzisha uzi wako.
 
Nafikiri utaki kunielewa ndugu yngu lete hiyo historia yako ya Uhuru wa nchi hii tofauti na hiyo
Unataka nikupe story wakati history za Uhuru Wa aina zote upo shuleni mkuu rudi shule tena kama ulipitwa.. Huyu Mo yeye anachotaka zaidi ni kipotosha na kuchomeka uislam zaidi uonekane ndio uliyafuta Uhuru wa Tanganyika... Kuna yaliyo sawa kutoka shule ila wengine wasiohusika kisa tu walikiwepo na ni Muslim basi anataka waingizwe kwenye history.. Kuna sie mababu zetu walikuwa ni Machifu na wapipambana na kupigania himaya zao na historia tushafuatilia kidogo lakini hatuwezi wekwa kivile kwani Uhuru ulipatikana kiakiri zaidi ya nguvu tofauti na plan za mababu zetu...Akili za Nyerere ndizo zilileta Uhuru na sio hiyo miuza kahawa na pesa zilitumika kugharamia ni za John Rupia. Pia. Kina kambona n.k sio hao makachara mifukoni vumbi tupu
 
Wajing Wa humu wamekazia kumtetea mtu muongo na hatari ujinga na uongo anao uandika humu ni hatari sana kihistoria na nilijua keshashikwa atakwepa majibu mwishowe atatoa matusi ndio formula ya mtu muongmuongo... Ati Aziz Ali ndie mwafrica Wa kwanza au mtanganyika kununua gari na kujenga nyumba ya vigae! nilikuwa namsubiri ataje mwaka nimuumbue kakwepa kujibu hivyo thread yake hii ni hizo mtupu haiwezi kuwa history yenye uongo ndani... Tusiwe wapumbavu kumtetea mtu muongo

Punguza Ghadhabu hakuna Ugomvi, Historia ukiamini imekosewa unaleta iliyopatiwa sio Matusi na kashfa na kejeli.

Ni mfano wa Utafiti Kama hukubaliani nao humtukani Mtafiti unaleta wa kwako uliobora zaid na Hilo litakuwa tusi Mujarrab!
 
5a2cf559a6f3ece4fba4b7f8d30a1ab4.jpg
Kutoka kulia waliosimama:
1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )
2. Nassoro kalumbanya (simba str.)
3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.)
4. Mtoro Ally (Muhonda str.)
5. John Rupia (Misheni kota)
6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.)
8. Jumbe Tambaza( Upanga )
9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili)
10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande )
11. Mshume Kiyate (Tandamti)
12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo )
13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma)
14. Rajab Simba ( kiungani str.)
15. Waziri Mtonga (Kilosa no.18, Ilala)
16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala)
17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo)
 
Napenda uandishi was Mohammad Said,tatizo anaweka sana dini mbele kama vile uislam ndio uliopigania Uhuru wa Tanganyika,badilika kaka
Nawewe anzisha history yako kisha tangaza na dini yako, hivyo vitu viliongozana sana huku kwetu africa, kwan uliishia darasa la ngapi, maaana km ungesogea had iv isingesumbua sana
 
Tunahitaji kuwa na historia ya watu waarufu waliowahi kuishi Dar na kuipa muonekana huu wa sasa. Hii ni mradi ambao ulitakiwa ufanywe na jiji la Dar. Yapo majina mengi yanasikika tuu lakini watu hawajui historia zao. Watafiti kama mzee Mohamed wahusishwe. Itapendeza sana. Na majiji mengine pia yaige.

Mkuu Mohamed
Historia ni mwalimu mzuri kwani hukukumbusha yaliyopita ili kutengeneza njia kwa yajayo.
Unafanya kazi nzuri sana, jitahidi kubalance maana kwa muda nimekuwa nikifuatilia maandishi yako yana kosa balance. Kwani nina amini na kudhamini michango ya hao wazee wetu wa kiislamu, lakini pia kulikuwepo kina John Rupia na hata wapagani kadhaaa ungeweka uwiano nadhani somo lako lingekuwa safi zaidi. Ondoa element ya udini.
 
Wajing Wa humu wamekazia kumtetea mtu muongo na hatari ujinga na uongo anao uandika humu ni hatari sana kihistoria na nilijua keshashikwa atakwepa majibu mwishowe atatoa matusi ndio formula ya mtu muongmuongo... Ati Aziz Ali ndie mwafrica Wa kwanza au mtanganyika kununua gari na kujenga nyumba ya vigae! nilikuwa namsubiri ataje mwaka nimuumbue kakwepa kujibu hivyo thread yake hii ni hizo mtupu haiwezi kuwa history yenye uongo ndani... Tusiwe wapumbavu kumtetea mtu muongo

Duduwasha
Hoja jujibiwa kwa hoja siyo hasira. Na wewe tutajie wakwao. Kwani mwenzio kamtaja mzee Aziz.
 
Ili kuleta ushindani tupien hizo zilizobalance tusome jaman, tatizo liko wapi kwan jamni, unajua hapa mleta thread anaizungumzia dar kwa asilimia kubwa, na hiii ikumbukwe ni miji ambayo asilimia kubwa ni waislam.
Basi tutoe aziz ally tuandike Peter ili tubalance, kingine humu wanaobisha zaid ni wale wa mikoani
 
Mohamed Said, historia zako nzuri sana tatizo haziko balanced zimeegemea sana kuonyesha ni waislam tu waliopigania uhuru wa Tanganyika kitu ambacho ni uongo! Angalizo: mimi ni muislamu..jitahidi kua fair kidogo ili hizi historia ziwe zimebalance na sio kuvutia upande mmoja tu. Thanks.
Watu kama wew wanahitajika sana nchi hii,yaan had kichefuchefu
Mara fulan bin fulan alikucha akiwa na miak 5 tayar akiw MUISLAM
What kind of hell is this!!!..
 
Watanzania tuna safari ndefu sana, kuanzia uelewa wa kila kitu, watu tumeshindwa kusoma na kuelewa, badala yake tumesoma kwa mizuka na kukurupuka ndipo tuliposhindwa Kuelewa
 
Kumbuka kuna aina tatu au njia tatu za kujibu swali njia ya kwanza unaweza kujibu swali kwa kupitia swali njia ya unaweza kujibu swali kwa maelezo njia tatu unaweza kujibu swali kwa kifupi sasa Mzee Mohamed Said amekujibu swali lako kupitia swali sasa sioni ubaya wwote hapo ndugu yngu
Hizi njia umezipata wap?..
 
Huyo mzee atawadanganya nyie wavivu Wa kusoma na kufanya utafiti.. Cha ajabu hata maneno ya Nyerere anayapinga, wasio husika anaweweka kwenye historia yake.. Wapigania Uhuru wapo kihistoria hadi Uingereza wana tambua kuna hadi wazungu wahindi walisaidia Uhuru hawataji hapa anazumgumzia Aziz Ali ambae hamna kitu Kazi zake za misikiti... Asidamganye watu kitu kuna wajuu zake Aziz tunawafahamu pia.
Ooohh oohh Sijui karabai MISIKITINI,mara alipinga amri ya nyerere kumkamata MKUU WA WAISLAM,mara alikuj akiw na miak 5 tayar MUISLAM,upuuz mtup!!..
 
Back
Top Bottom