Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Lete sasa historia yako ww ya ukweli zaidi ya hiyo Mzee Mohamed Said na sio maneno matupu na kashifa za kitoto
Hoja zako umezigeuza ushakuwa popo au huyo mzee ni bwana wako nini? Historia zishawekwa na wenyewe na zipo hivyo kutaka kuja kudanganywa kipumbavu akadanganye wanawe na wajukuu zake na wewe pia mmoja wao.. So me sina kashfa hoja zangu zinasimama wewe ndio una utoto kwangu... Pia huna hoja za kukufanya kuchomeka hoja dhidi yangu juu ya upotoshaji Wa history inayoletwa na Mo Said
 
Nafikiri utaki kunielewa ndugu yngu lete hiyo historia yako ya Uhuru wa nchi hii tofauti na hiyo
 

Duduwasha kama Wewe unayo history ya ukweli iweke hapa.Kama huna usitukwaze au anzisha uzi wako.
 
Nafikiri utaki kunielewa ndugu yngu lete hiyo historia yako ya Uhuru wa nchi hii tofauti na hiyo
Unataka nikupe story wakati history za Uhuru Wa aina zote upo shuleni mkuu rudi shule tena kama ulipitwa.. Huyu Mo yeye anachotaka zaidi ni kipotosha na kuchomeka uislam zaidi uonekane ndio uliyafuta Uhuru wa Tanganyika... Kuna yaliyo sawa kutoka shule ila wengine wasiohusika kisa tu walikiwepo na ni Muslim basi anataka waingizwe kwenye history.. Kuna sie mababu zetu walikuwa ni Machifu na wapipambana na kupigania himaya zao na historia tushafuatilia kidogo lakini hatuwezi wekwa kivile kwani Uhuru ulipatikana kiakiri zaidi ya nguvu tofauti na plan za mababu zetu...Akili za Nyerere ndizo zilileta Uhuru na sio hiyo miuza kahawa na pesa zilitumika kugharamia ni za John Rupia. Pia. Kina kambona n.k sio hao makachara mifukoni vumbi tupu
 

Punguza Ghadhabu hakuna Ugomvi, Historia ukiamini imekosewa unaleta iliyopatiwa sio Matusi na kashfa na kejeli.

Ni mfano wa Utafiti Kama hukubaliani nao humtukani Mtafiti unaleta wa kwako uliobora zaid na Hilo litakuwa tusi Mujarrab!
 
Kutoka kulia waliosimama:
1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )
2. Nassoro kalumbanya (simba str.)
3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.)
4. Mtoro Ally (Muhonda str.)
5. John Rupia (Misheni kota)
6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.)
8. Jumbe Tambaza( Upanga )
9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili)
10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande )
11. Mshume Kiyate (Tandamti)
12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo )
13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma)
14. Rajab Simba ( kiungani str.)
15. Waziri Mtonga (Kilosa no.18, Ilala)
16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala)
17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo)
 
Napenda uandishi was Mohammad Said,tatizo anaweka sana dini mbele kama vile uislam ndio uliopigania Uhuru wa Tanganyika,badilika kaka
Nawewe anzisha history yako kisha tangaza na dini yako, hivyo vitu viliongozana sana huku kwetu africa, kwan uliishia darasa la ngapi, maaana km ungesogea had iv isingesumbua sana
 

Mkuu Mohamed
Historia ni mwalimu mzuri kwani hukukumbusha yaliyopita ili kutengeneza njia kwa yajayo.
Unafanya kazi nzuri sana, jitahidi kubalance maana kwa muda nimekuwa nikifuatilia maandishi yako yana kosa balance. Kwani nina amini na kudhamini michango ya hao wazee wetu wa kiislamu, lakini pia kulikuwepo kina John Rupia na hata wapagani kadhaaa ungeweka uwiano nadhani somo lako lingekuwa safi zaidi. Ondoa element ya udini.
 

Duduwasha
Hoja jujibiwa kwa hoja siyo hasira. Na wewe tutajie wakwao. Kwani mwenzio kamtaja mzee Aziz.
 
Ili kuleta ushindani tupien hizo zilizobalance tusome jaman, tatizo liko wapi kwan jamni, unajua hapa mleta thread anaizungumzia dar kwa asilimia kubwa, na hiii ikumbukwe ni miji ambayo asilimia kubwa ni waislam.
Basi tutoe aziz ally tuandike Peter ili tubalance, kingine humu wanaobisha zaid ni wale wa mikoani
 
Watu kama wew wanahitajika sana nchi hii,yaan had kichefuchefu
Mara fulan bin fulan alikucha akiwa na miak 5 tayar akiw MUISLAM
What kind of hell is this!!!..
 
Watanzania tuna safari ndefu sana, kuanzia uelewa wa kila kitu, watu tumeshindwa kusoma na kuelewa, badala yake tumesoma kwa mizuka na kukurupuka ndipo tuliposhindwa Kuelewa
 
Hizi njia umezipata wap?..
 
Ooohh oohh Sijui karabai MISIKITINI,mara alipinga amri ya nyerere kumkamata MKUU WA WAISLAM,mara alikuj akiw na miak 5 tayar MUISLAM,upuuz mtup!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…