Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

[
Hebu nikupe somo hapo zamani za kale kipindi cha ukoloni hapa kwetu watu waligawanywa matabaka matatu wazungu waarabu wa asia na waafrika weusi ambao ndio wenyeji weusi mtu anaposimulia historia ya taifa letu akatumia neno mwafrika wa kwanza anamaanisha mtu mweusi wa kwanza katika makundi hayo matatu yaliyotajwa na hamaanishi afrika yote ......maana anazungumzia kwa tanzania kutokana na watu walivyokuwa wamegawanya kwa rangi zao sjui nini kinakuwa kigumu kuelewa hapo
Haya Mohamed Said umepata Mwalimu je unamkubalia yeye anasema hapo zamani za kale kulikuwa na mzungu,Mwarabu na Mtu Mweusi watu hao walijitenga kuishi kitabaka la rangi.. Hivyo historia yako iweke sawa nadhani utakuwa umejifunza Sawa sawa.. Huyu Mwalimu hajui Mwafrica ni mtu Wa rangi gani majanga sana..
 
Na kama ni uongo ilikua na haja ya nyerere yy mwenyewe kupinga kama ni uongo anakuja mtu ambae kwanza hana hata muongo mmoja ndani ya jiji hili
Mkuu kuishi sehemu kwa muda mrefu si kwamba utajua kila kitu... Tumia akili wakati mwingine unapovamia mada... Tanzania huko mtwara gas imegundulika karibuni wana mtwara hawakujua hilo bali wageni ndio walitambua.. Huo mji uishio hujui watu wote.. Ila wengine wanatambua watu wengi habari hukusanywa zikawekwa zikahojiwa zikakanushwa kisha zinarekebishwa inakuwa historia maridhawa.. Ndio nyie mashuleni mnawapokea form one mkiwadharau kumbe wengine wameingia form one kwa marks za juu kuliko wewe ulivyoingia form one mwaka wako... Ni aibu kushindania umri wakati kichwani ni mweupe. Kiufupi Historia ilishaandikwa na ikapitishwa na baraza la Taifa wazee walikiwepo hawakupinga na sasa wengi wameshatangulia mbele za haki anakuja mtu anataka kubadilisha historia kitu kisichowezekana tena wengine ndio walikuwa vibaraka vya wazungu ati viingie kwenye historia Mavi... You can't change the history.
 
Wewe nafikir ni miongoni mwa wanafunzi ambao tumefundishwa shule binadam tunatokana na sokwe unaliamini hilo na mlima kilimanjaro umegunduliwa na wazungu unaamini hivi vitu kwa akili yako timamu nakufundisha sio kila unacho kisoma kwenye vitabu ni kweli huo sio msahafu
 
Duduwasha,
Usitukane tufanye tu mjadala wa kiungwana.

Nitakupa majibu ya mkasa mzima wa wapi hitilafu ilitokea katika uandishi
ya historia ya TANU.

Yaelekea wewe ni mgeni hapa jamvini kwani hili nishalieleza huko nyuma.
Niwie radhi niko njiani.
 
Mkuu kuishi sehemu kwa muda mrefu si kwamba utajua kila kitu... Tumia akili wakati mwingine unapovamia mada... Tanzania huko mtwara gas imegundulika karibuni wana mtwara hawakujua hilo bali wageni ndio walitambua.. Huo mji uishio hujui watu wote.. Ila wengine wanatambua watu wengi habari hukusanywa zikawekwa zikahojiwa zikakanushwa kisha zinarekebishwa inakuwa historia maridhawa.. Ndio nyie mashuleni mnawapokea form one mkiwadharau kumbe wengine wameingia form one kwa marks za juu kuliko wewe ulivyoingia form one mwaka wako... Ni aibu kushindania umri wakati kichwani ni mweupe. Kiufupi Historia ilishaandikwa na ikapitishwa na baraza la Taifa wazee walikiwepo hawakupinga na sasa wengi wameshatangulia mbele za haki anakuja mtu anataka kubadilisha historia kitu kisichowezekana tena wengine ndio walikuwa vibaraka vya wazungu ati viingie kwenye historia Mavi... You can't change the history.
Tatizo lako blah blah nyingi na huna hoja ya msingi,ona sasa eti unafananisha ugunduzi wa natural gas na historia ya nchi..!! Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa! Sio kila ulichofundishwa ni kweli,jaribu kua mdadisi na usiwe kama Sponji unanyonya kila kimiminika!

Kinachokufanya utukane watu humu ni kutokua na knowledge yeyote,mtu asiyejua kitu siku zote hukimbilia kukashifu na kutukana tu, tulia ufundishwe na sio kurukaruka tu kama Kangaroo, soma comment # 284 kisha jitafakari.
 
Gagnija,
Hamza Aziz
alikuwa na degree mbili alizosoma Marekani alipokuwa Ubalozini.
Kabla ya hapo sijui elimu yake.

Sifahamu lini alijiunga na polisi lakini itakuwa mwishoni 1940s maana alipata
kunieleza kuwa alipojiiunga na jeshi alipelekwa Morogoro na baba yake
alimtembelea kambini akamkuta amenunua baiskeli.

Hamza Aziz anasema baba yake alifurahi sana na akamuombea dua akimwambia
Allah, "Nakuomba umpe mwanangu kila atochokuomba."

Baba yake alifariki 1951.
 
Gagnija,
Hamza Aziz alikuwa na degree mbili alizosoma Marekani alipokuwa Ubalozini.

Kabla ya hapo sijui elimu yake.

Sifahamu lini alijiunga na polisi lakini itakuwa mwishoni 1940s maana alipata kunieleza kuwa alipojiiunga na jeshi alipelekwa Morogoro na baba yake alimtembelea kambini akamkuta amenunua baiskeli.

Hamza Aziz anasema baba yake alifurahi sana na akamuombea dua akimwambia Allah, "Nakuomba umpe mwanangu kila atochokuomba."

Baba yake alifariki 1951.
Kuna siku nilikuwa natazama TBC siku ya sherehe za uhuru wa Tanganyika mtangazaji alikuwa Gabriel Zakaria. Alijaribu kuelezea historia ya uhuru wetu lakini dhahiri mambo mengi sana yalimchanganya. Nilijisemea moyoni kwamba kwanini kwenye matukio muhimu kama haya wasialikwe watu wenye upeo mpana kama Mohamed Said badala ya kuwaachia wababaishaji wanaoupotosha umma.

Makala zako zinatufunza mengi tusiyoyajua hasa sie tuliovamia jiji uzeeni. Usichoke kutuelimisha.
 
Gagnija,
Si suala la ugeni.
Wako waliozaliwa hapa Dar es Salaam lakini haya hawayajui.

Bahati yangu mimi ni kuwa nilikuwa na mkabala mzuri sana na
wazee hawa.
 
Duduwasha,
Usitukane tufanye tu mjadala wa kiungwana.

Nitakupa majibu ya mkasa mzima wa wapi hitilafu ilitokea katika uandishi ya historia ya TANU.

Yaelekea wewe ni mgeni hapa jamvini kwani hili nishalieleza huko nyuma.
Niwie radhi niko njiani.
Duduwasha,
Nakuwekea hapo chini niliyoandika katika kitabu cha Abdul Sykes ili uone
chanzo cha matatizo ya historia ya TANU:

''Kwa mara ya kwanza historia ya TANU ilitaka kuandikwa na Abdulwahid
mwenyewe.

Baada ya kupatikana kwa uhuru mwaka 1961 na TANU ilipokuwa sasa
inataka kujiimarisha kama chama cha umma, inasemekana Nyerere wakati
ule Waziri Mkuu alimuomba Abdulwahid aandike historia ya harakati ya
Waafrika wa Tanganyika dhidi ya ukoloni wa Waingereza.

Hii kwa hakika ndiyo historia ya TANU.

Dr Wilbert Kleruu ambae ndiyo kwanza alikuwa ametoka masomoni Amerika
alichaguliwa na TANU asaidiane na Abdulwahid katika utafiti na uandishi wa
historia ile.

Abdulwahid alirudi kwenye ofisi za TANU makao makuu; kwenye ofisi yake
ya zamani aliyokuwa akiitumia kama rais wa TAA.

Nyaraka zake binafsi, za baba yake nyingine kuanzia mwaka wa 1929 wakati
wa enzi za African Association zililetwa pale kwa utafiti kama ushahidi wa yale
yaliyopitika zama hizo.

Maelezo ya Abdulwahid katika kuanzishwa kwa African Association bila ya
kutegemea inasemekana hayakumpendeza Nyerere, kwa kuwa mwanzo wa
harakati dhidi ya ukoloni jinala baba yake Abdulwahid, Mzee Kleist Sykes,
lilikuwa likitawala.

Halikadhalika ilipofika kueleza namna TAA ilivyokujabadilishwa kuwa TANU
watotowake wote watatu - Abdulwahid, Ally na Abbas wakiongozwa na
kaka yao mkubwaAbdulwahid wakawa wanatawala harakati zile.

Historia hii inasemekana haikumpendeza Nyerere na baadhi ya viongozi
wa TANU.

Haukupita muda Abdulwahid akatambua kuwa viongozi wapya walioshika
nafasikatika TANU kwa kweli hawakuwa na nia hasa ya kutafiti na kuandika
historia yaTanganyika bali nia na azma yao ilikuwa na kumjenga Nyerere
na kumkuza kwa sifa ambazo hazikumstahili.

Abdulwahid alipong’amua hili haraka akajitoa katika kazi ile.

Hata hivyo Dr. Kleruu aliendelea na utafiti na akaandika historia ya TANU.

Historia hii inasemekana ilifuta mchango wa akina Sykes na wazalendo
wengine katika kuunda African Association na baadae kuasisi TANU.

Hata hivyo baada ya kazi hii kukamilika haikuchapishwa na ikabaki katika
maktabaya TANU, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.

Lakini baadae kazi ile ilitoweka na ikachapishwa baada ya ‘’mwandishi,’’
kufanya mabadiko kadhaa katika mswada ule ili usitambulike chanzo chake.

Hata hivyo TANU iligundua kuwa ile ilikuwa historia yao iliyoandikwa na Dr.
Kleruu
na wakafanya bidii kuzuia isichapishwe.

Kimya kimya TANU ikafanya juhudi ya kuzuia kitabu hicho kisitoke toleo la
pili.

Lakini hili halikuwezekana na kitabu hicho kimechapishwa sasa mara kadhaa.

Uandishi wa kitabu kile haukutofautiana sana na kitabu cha TANU kilichotoka
mwaka 1981 kilichoandikwa na Chuo cha TANU cha Kivukoni.''

Duduwasha,
Nakuomba ruksa nisimame hapa kisha In Shaa Allah tutaendelea na mkasa
huu wa kuandika historia ya TANU.

Sasa ukisema kuwa kulikuwa na wazee wakati ikiandikwa historia ya TANU
na wakaikubali historia iliyoandikwa ni muhimu pia ukajua hao waz ni wazee
gani.

Nakueleza haya kwa kuwa hao wazee ninaowajua mie waliokuwa katika
Baraza la TANU walipigwa marufuku kufika Ofisi ya TANU na Baraza la
Wazee wa TANU likavunjwa kwa kushutumiwa kuchanganya dini na siasa.

Haya yalitokea mwaka wa 1963.

Wakati huo mwenyekiti wa Baraza hilo alikuwa Mzee Idd Tulio aliyechukua
uongozi mwaka wa 1958 baada ya Sheikh Suleiman Takadir aliyekuwa
mwenyekiti wa Baraza la Wazee kufukuzwa chama baada ya ugpmvi na
Mwalimu Nyerere kuhusu Kura Tatu.

Huu ni muhtasari tu.
Yako mengi.
 
Tatizo lako blah blah nyingi na huna hoja ya msingi,ona sasa eti unafananisha ugunduzi wa natural gas na historia ya nchi..!! Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa! Sio kila ulichofundishwa ni kweli,jaribu kua mdadisi na usiwe kama Sponji unanyonya kila kimiminika!

Kinachokufanya utukane watu humu ni kutokua na knowledge yeyote,mtu asiyejua kitu siku zote hukimbilia kukashifu na kutukana tu, tulia ufundishwe na sio kurukaruka tu kama Kangaroo, soma comment # 284 kisha jitafakari.
nadhani ushaishiwa cha kuongea na Mimi basi acha mdahalo uendelee mleta Mada ndio aliulizwa akaanza kashfa kwa aliyemuuliza sababu alikosa jibu means alikuwa anahadaa na mpaka sasa kashindwa kuweka sawa uongo wake so naona kama unamsema yeye wewe Ukitaka ligi na mimi hatoweza naona unaingilia tu kama wakili Wa chenge na wizi Wa pesa za rada.. Alishinda ila kwa hili swala la Aziz Ali alikuwa Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya vigae nitawashindeni hata nje msikiti mzima..
 
Hapa hatushindani kutaka apatikane mshindi.
Hapa jamvini tunajadiliana na kuelimishana.

Jitulize tufanye mjadala kwa faida yetu sote.
 
Sasa si tumekwambia wewe uulete huo ukweli wako? Mbona umeishia kujiuma uma tu? Eti nikitaka ligi na wewe sitoweza,ligi gani hiyo? Na umetumia criteria zipi kujua sitoweza ligi na wewe? Mzee Mohammed Said anapoteza tu muda wake kukujibu mtu kama wewe kwa busara coz level yako sio ya kujibiwa kwa upole na kwa busara coz u don't deserve it.
 
CleverKING,
Hapana haja ya sisi kuzozana.
Tujadiliane tu kwa utulivu kwani jambo lolote ukilitia upole hupendeza.
 
Duduwasha,
Hapa hatushindani kutaka apatikane mshindi.
Hapa jamvini tunajadiliana na kuelimishana.

Jitulize tufanye mjadala kwa faida yetu sote.
Mjibujamaa kuwa ulikosea pale kusema Azizi Ali alikuwa Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya Vigae
 
Sasa si tumekwambia wewe uulete huo ukweli wako? Mbona umeishia kujiuma uma tu? Eti nikitaka ligi na wewe sitoweza,ligi gani hiyo? Na umetumia criteria zipi kujua sitoweza ligi na wewe? Mzee Mohammed Said anapoteza tu muda wake kukujibu mtu kama wewe kwa busara coz level yako sio ya kujibiwa kwa upole na kwa busara coz u don't deserve it.
Umedandi ukuni usioujua sasa unakuunguza hujui hata nini kinazungumziwa nadhani hata Mada pia hujui inahusu nini! Ukishikwa na uharo nenda washroom maana umeleta kichefuchefu... Me sijawahi jiuma nasimia hoja moja kwanza... Watu Wa aina yako huwa wanafail sana maisha
 
Back
Top Bottom