Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Mapenzi matamu nyie....dah jamaa anafaidi.
Kadi za mwaliko basi jamani na mie nikalione hilo limsambwanda live
 
siioni stability yake uwanjani kupitia huyo mdangaji. Changamoto za mahusiano zina impact mpaka kwenye kiwango cha wachezaji uwanjani.
Ah wee bwana inategemea mbona romaldinho na ronaldo de lima wakisasambua mbususu ndio walikuwa wanapiga boli hatari kweli kweli.

Huyu nae akishapewa msambwanda huo atakuwa anatupia tuu.
 
Wachezaji wengine hawana mahusiano?
Anaelewa maana ya stability, mimi sioni kuna binti hapo katoa mfano wa Uwoya (Ambao wote wadnagaji) na Ndikumana jamaa alikuwa anacheza nje, ila kilicho tokea baada kuoa mlikiona, kuna akina Kyle Walker na Pep Guardiola so MIMI SIONI STABILITY ya Ki kupitia hayo mahusiano.

Kwa maslahi ya Yanga wamuuze, kabla hajaanza kucheza chini ya kiwango na uzuri club za Uarabuni wanamtaka kwa hela kubwa USD 400k.
 
Ah wee bwana inategemea mbona romaldinho na ronaldo de lima wakisasambua mbususu ndio walikuwa wanapiga boli hatari kweli kweli.

Huyu nae akishapewa msambwanda huo atakuwa anatupia tuu.
Ronaldinho na Ronaldo malaya wakutupwa wale,hawajui kustick na mwanamke mmoja,tena kama huyo Ronaldinho alikuwa sometimes anaondoka kambini kwenda kwenye matamasha yao ambayo wanawake hutembea na bikini mtaani na De lima kuna Rumours alipita mpaka na Transgender.

Ila huyu Ki kajilipua kabisa,tena kwa mdangaji mfuatilie Uwoya na Ndikumana.
 
Acha nongwa mkuu kwa hiyo unataka yeye asifaidi matunda ya kazi yake.
 
Acha nongwa mkuu kwa hiyo unataka yeye asifaidi matunda ya kazi yake.
Mimi sina Nongwa uzuri ni mwana Yanga,pili mpira naufuatilia yaani mpaka maisha ya wachezaji wanayo ya pitia sababu ya changamoto zao za ndoa.Kuna sehemu nimesema asifaidi?.Ila kwa maslahi ya timu ya Yanga na kwa trend za wanawake kama hao,bora Yanga wamuuze tupate hela maana kiwango kikidrop tutamuuza ila kwa hela mbuzi.
 
Muhimu anaipa roho inachotaka mzeya anajinesea juu ya msambwanda. Na sinasikia anapiga miguu yote
 
Kinaweza kisidrop pia.
 
Muhimu anaipa roho inachotaka mzeya anajinesea juu ya msambwanda. Na sinasikia anapiga miguu yote
Hayo ya miguu yote sijui, ila Yanga wamuuze tena Uarabuni ataenda kupata mshahara mzuri kuliko Yanga na Signing fees yake atakayo ipata itakuwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…