Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa mwaka ni million 400 tu kabla ya kutoa kodi.Last time alikuqa anakunja mshahara wa milioni 34 kabla hajasaini mkataba mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwaka ni million 400 tu kabla ya kutoa kodi.Last time alikuqa anakunja mshahara wa milioni 34 kabla hajasaini mkataba mpya.
siioni stability yake uwanjani kupitia huyo mdangaji. Changamoto za mahusiano zina impact mpaka kwenye kiwango cha wachezaji uwanjani.Kwa nini wa muuze?
Mapenzi matamu nyie....dah jamaa anafaidi.Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa chache kuelekea ndoa yao.
View attachment 3236582
"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia."
"Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele."
View attachment 3236583
View attachment 3236584
View attachment 3236601
Soma, Pia
Wachezaji wengine hawana mahusiano?siioni stability yake uwanjani kupitia huyo mdangaji. Changamoto za mahusiano zina impact mpaka kwenye kiwango cha wachezaji uwanjani.
Ah wee bwana inategemea mbona romaldinho na ronaldo de lima wakisasambua mbususu ndio walikuwa wanapiga boli hatari kweli kweli.siioni stability yake uwanjani kupitia huyo mdangaji. Changamoto za mahusiano zina impact mpaka kwenye kiwango cha wachezaji uwanjani.
Kurogwa kupo....hapo masingle maza wanapata pakusemeaJamaa kaamua kutanguliza Chini , huko kwao kaacha bidada mwenye mtoto , kaja kuangukia Kwa bidada mwenye watoto ambao Kila Mmoja ana baba yake.
Anaelewa maana ya stability, mimi sioni kuna binti hapo katoa mfano wa Uwoya (Ambao wote wadnagaji) na Ndikumana jamaa alikuwa anacheza nje, ila kilicho tokea baada kuoa mlikiona, kuna akina Kyle Walker na Pep Guardiola so MIMI SIONI STABILITY ya Ki kupitia hayo mahusiano.Wachezaji wengine hawana mahusiano?
Ronaldinho na Ronaldo malaya wakutupwa wale,hawajui kustick na mwanamke mmoja,tena kama huyo Ronaldinho alikuwa sometimes anaondoka kambini kwenda kwenye matamasha yao ambayo wanawake hutembea na bikini mtaani na De lima kuna Rumours alipita mpaka na Transgender.Ah wee bwana inategemea mbona romaldinho na ronaldo de lima wakisasambua mbususu ndio walikuwa wanapiga boli hatari kweli kweli.
Huyu nae akishapewa msambwanda huo atakuwa anatupia tuu.
Acha nongwa mkuu kwa hiyo unataka yeye asifaidi matunda ya kazi yake.Anaelewa maana ya stability, mimi sioni kuna binti hapo katoa mfano wa Uwoya (Ambao wote wadnagaji) na Ndikumana jamaa alikuwa anacheza nje, ila kilicho tokea baada kuoa mlikiona, kuna akina Kyle Walker na Pep Guardiola so MIMI SIONI STABILITY ya Ki kupitia hayo mahusiano.
Kwa maslahi ya Yanga wamuuze, kabla hajaanza kucheza chini ya kiwango na uzuri club za Uarabuni wanamtaka kwa hela kubwa USD 400k.
Kwa hio wewe choka mbaya mnuka nyapu unaeingia period zisizoeleweka unataka kujufananisha na Hamisa ambae kila boss wa mjini anataka agonge, hadi rick ross alitaka kugonga?Mnatusemaga tumezeeka haya hamisa anaolewa nyie wapanga maisha ya watu mmedoda
Mimi sina Nongwa uzuri ni mwana Yanga,pili mpira naufuatilia yaani mpaka maisha ya wachezaji wanayo ya pitia sababu ya changamoto zao za ndoa.Kuna sehemu nimesema asifaidi?.Ila kwa maslahi ya timu ya Yanga na kwa trend za wanawake kama hao,bora Yanga wamuuze tupate hela maana kiwango kikidrop tutamuuza ila kwa hela mbuzi.Acha nongwa mkuu kwa hiyo unataka yeye asifaidi matunda ya kazi yake.
Muhimu anaipa roho inachotaka mzeya anajinesea juu ya msambwanda. Na sinasikia anapiga miguu yoteRonaldinho na Ronaldo malaya wakutupwa wale,hawajui kustick na mwanamke mmoja,tena kama huyo Ronaldinho alikuwa sometimes anaondoka kambini kwenda kwenye matamasha yao ambayo wanawake hutembea na bikini mtaani na De lima kuna Rumours alipita mpaka na Transgender.
Ila huyu Ki kajilipua kabisa,tena kwa mdangaji mfuatilie Uwoya na Ndikumana.
Kinaweza kisidrop pia.Mimi sina Nongwa uzuri ni mwana Yanga,pili mpira naufuatilia yaani mpaka maisha ya wachezaji wanayo ya pitia sababu ya changamoto zao za ndoa.Kuna sehemu nimesema asifaidi?.Ila kwa maslahi ya timu ya Yanga na kwa trend za wanawake kama hao,bora Yanga wamuuze tupate hela maana kiwango kikidrop tutamuuza ila kwa hela mbuzi.
Hayo ya miguu yote sijui, ila Yanga wamuuze tena Uarabuni ataenda kupata mshahara mzuri kuliko Yanga na Signing fees yake atakayo ipata itakuwa kubwa.Muhimu anaipa roho inachotaka mzeya anajinesea juu ya msambwanda. Na sinasikia anapiga miguu yote
Hilo nalo neno. Huko atapata mil 100 kwa mweziHayo ya miguu yote sijui, ila Yanga wamuuze tena urabu ataenda kupata mshahara mzuri kuliko Yanga na Signing fees yake atakayo ipata itakuwa kubwa.
Single mama kumbe anaoleka bwana muhimu awe na msambwandaMnaochukia single mothers yamewashuka shuuuuuuuuuuu.......wengine mnatabiri eti atashuka viwango Aziz, wanga tu nyie badala ya kuwish watu well
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahKwa hio wewe choka mbaya mnuka nyapu unaeingia period zisizoeleweka unataka kujufananisha na Hamisa ambae kila boss wa mjini anataka agonge, hadi rick ross alitaka kugonga?