Narudia tena Engagement na Machoko sihitaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko pale kambini anasambaza upendo kwa wana, tena akaona haitoshi akaamua aweke video public watu tusuuze macho, na tujue ya kambini.
Msalimie shost ako kabwiliiiii, hahahahah
Ukinuna nakunyoosha vingine. Uwiiiiiiiih
Wamepitwa hadi na Namungo FC, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok mada nzuri huko hatujafika kwa vilabu vya Tanzania ila club inayofanya vizuri au yenye record CAF champion's league sio tu Tanzania afrika mashariki kwa ujumla simba ndio kinara kwani hata kuanza haanzi hatua moja na utopolo tumechelewa ila tutafika Tanzania inatoa team nne kwasababu ya simba hata thamani yao imepanda kama yanga akiwahi kuchukua CAF champion's league kabla ya simba basi pia itakuwa kheri ila ukubwa wa team unapimwa kwa kiwango hcho sawa 0.5 radius pambaneni mtafika level za simba sio lazima mkubali ila takwimu zinaongea.
Na wewe unataka upewe gari? [emoji22][emoji22]Si bora mimi punguani lakini silipwi nyinyi mnamlipa mshahara mmempa na gari kwa kazi ya upunguani yule nguruwe pori kwa umri wake na mambo anayofanya haviendani yule aliyewaambia mnaanzia hatua ya mtoano CAF champion's league wakati mna 0.5 mapunguani wengine wapo airport pale ngoja CAF champion's league ianze utawaona wanaenda kuwapokea wageni wala hawawajui hata kidogo.
Kufanya vizuri ni kuchukua kombe nothing else Pisto amefukuzwa Al Ahl na kafika final nyinyi wenyewewe mmemfukuza Kaka yake Zidane kwa kushindwa kuchukua makombeOk mada nzuri huko hatujafika kwa vilabu vya Tanzania ila club inayofanya vizuri au yenye record CAF champion's league sio tu Tanzania afrika mashariki kwa ujumla simba ndio kinara kwani hata kuanza haanzi hatua moja na utopolo tumechelewa ila tutafika Tanzania inatoa team nne kwasababu ya simba hata thamani yao imepanda kama yanga akiwahi kuchukua CAF champion's league kabla ya simba basi pia itakuwa kheri ila ukubwa wa team unapimwa kwa kiwango hcho sawa 0.5 radius pambaneni mtafika level za simba sio lazima mkubali ila takwimu zinaongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata ku argue unajua wee?? Wallah km issue ya badiliko la pre season umechanganyikiwa hivi, je mwakani kukosa vikombe? Mtalia wazi wazi na ndo tabia zenu hamjuagi kujikaza, mnamwaga tyuuh chozi, "yoyo maamaa tunaonewaa, TFF ni simba"Narudia tena Engagement na Machoko sihitaji
Mm Nina argue na Wanaume wenzangu rijali ila sio ww mtoto mchele×2
Sawa Mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata ku argue unajua wee?? Wallah km issue ya badiliko la pre season umechanganyikiwa hivi, je mwakani kukosa vikombe? Mtalia wazi wazi na ndo tabia zenu hamjuagi kujikaza, mnamwaga tyuuh chozi, "yoyo maamaa tunaonewaa, TFF ni simba"
Byuti byuti.
sawa tutaonaMtachora chini huo Ubingwa mwakani
😂sawaLabda Akudo
Hapana hyo gari yangu mnayotaka kunipa ongezeni kwenye pre season angalau mbadilishe mboga huko morogoro.
Kwani wewe unauhakika gani kuwa huyu aliyeleta hizi habari (kwenye huu uzi) kuwa ni mwana Simba Sc??
Mbona umeandika kishangingi Rasta?Nmekwambia leta hapa reliable source kwamba team itaenda Turkey , punguza kukaa salon za kike na dada zako
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kipaumbele kime cha ge baada ya mfuko kuchanikaSidhani kama kwenda huko Uturuki Kama ni kipaumbele cha Yanga, kipaumbe ni kujenga kikosi kilicho bora ili yanga iendelee kubeba vikombe ,Kama inauma chomoaaaa
Sio kila hbr ya kipumbavu ni ya kutoka na kuikanushaKipaumbele kime cha ge baada ya mfuko kuchanika
Usiwaone NENDA TOUR wajinga, wala kuiona taasisi kubwa ya Yanga inakubali kuchafuliwa kwa madai ya uwongo ukadhani ni uzalendo.
Kama Yanga imetumia zaidi ya nusu ya pesa inazopata kutupa furaha wananchi bado jambo jema, Yanga sio bank useme inatunza pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa 1B ipo costant haitumiki?
Hapo kuna M100 ya kodi imeyeyuka
Halafu fikiria tu nusu ya hiyo hela yote imeenda kwa Azizi Ki
Unafikiri wao wajinga kwenda moro?
Tukiamua hivyo tutaweza sema hata Yanga yako nayo sio source ya kuaminika kuhusiana na mipango mzima ya clubSource yako ya kipumbavu inapingwa kwa facts tu coz source yako ya habari ya kwenda pre season Turkey ilibidi iwe Klabu ya Yanga yenyewe,tofauti na hapo ni upumbavu tu
Ningekuwa mjinga kama Yanga wangetoa hiyo taarifa ya pre season yao kwenda Turkey halafu ningekuja hapa kukubishia kwa maoni yangu binafsi
Endelea kuupunguza umbumbumbu ulionao mkuu
Mambo mrngi ya kipumbavu mmeyashupalia ndio liwe hili?Sio kila hbr ya kipumbavu ni ya kutoka na kuikanusha
Wapumbavu wanaachwa na upumbavu wao
Boss anaumia nyie mnafurahi afu mkiambiwa michango mna mindKama Yanga imetumia zaidi ya nusu ya pesa inazopata kutupa furaha wananchi bado jambo jema, Yanga sio bank useme inatunza pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🦁Mwacheni wivu mjueee🤔Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.
Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.
View attachment 2292457
Leta hiyo picha au screenshots kutoka kwenye official page ya YangaTukiamua hivyo tutaweza sema hata Yanga yako nayo sio source ya kuaminika kuhusiana na mipango mzima ya club
Club ya Yanga unayoiona kama reliable source kumbuk ilishawahi kuweka picha ya chama akiwa amevalia jezi ya Yanga
Hapana jambo la kipumbavu zaidi ni lile la mbumbumbu kuoneshwa Bango la check linalo onesha pesa ya uwekezaji takribani imekuwa billion 20 zimewekwa Bank na wala haijulikani imewekwa bank ganiMambo mrngi ya kipumbavu mmeyashupalia ndio liwe hili?
Sio nyie mlitaka kuandamana kwenda hadi kwa mama samia kulalamika kuhusu marefa?
Kuna jambo la kipumbavu kuzidi hilo?