Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Usichanganye mambo, nadhani unamzungumzia Andambwile
 
Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana
Habari za Aziz kutokuwapo utopoloni zimeletwa na kiongozi wa watopolo. Habari za kusema bado yupo sana zinaletwa na watopolo. Kuhusisha watu wengine ni ujinga na upumbavu. Kaeni huko huko mkubaliane viongozi na wala mihogo wao. Inawezekana Injinia anataka kumuuza halafu aseme ameenda bure
 
Hujaulizwa bro na hujui lolote kuhusu mpira kalime maembe mdogo wangu
 
Umepaniki mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…