ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Um
Umenuna?Zile zilikuwa ni siasa za mpira
Hersi alitaka kuipa mirage Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenuna?Zile zilikuwa ni siasa za mpira
Hersi alitaka kuipa mirage Yanga
Mkuu, hizi zote muonyeshe Injinia, yeye ndio alianzisha sakata hili juzi 😁 😁 😁
Kuongeza mkataba sio sababu ya kutoondoka, mkataba anaongeza ili kumuongezea thamani mchezaji watakaokuja kumtaka waje na kibunda cha maana.😁🤣🤣🤣Kaongeza miaka miwili
Kuna mwanajeshi wa Japan alikuja kukubali kushindwa vita kuu ya pili ya dunia miaka ya 2000. Watu kama nyie mpo dunia nzima.Nasoma habari yako nione mmemuongezea miaka mingapi sioni, umeleta tu ngonjera hapa isiyo na ladha yoyote.
Aziz Ki ameahidiwa mshahara wa milioni 97 kwa mwezi CR Belouzdad ya Algeria, nyie vyura mnaweza kujikamua mkatoa hiyo pesa?
Milage sio mirageZile zilikuwa ni siasa za mpira
Hersi alitaka kuipa mirage Yanga
Ili wamchague tena mwakani..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wanamuona kama mwamposa vileZile zilikuwa ni siasa za mpira
Hersi alitaka kuipa mirage Yanga
Taarifa mbaya sana hii kwa sombasomba Fc.Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_
Is here to Stay 🔥 🟡 🟢
Baaasi.
Wananchi Ubingwa wa Africa tunao 😂✍️
View attachment 3038402
Ondoa Guede, weka Baleke.Guede je?🥲
Kama ni kweli basi huyo ni mpambavu wa wapumbavu.Dah! Jamaa kweli kaamua kuacha mls97, afu aendelee kupata 28.Hatariiii!
Kuwafirimba tena?Nacheka lkn naogopa🤣🤣🤣Unaambiwa Azizi Ki miwili Tena awafirimbe makolo kama kawaida yake😂😂
Makasiriko kya nini bro!?Habari za Aziz kutokuwapo utopoloni zimeletwa na kiongozi wa watopolo. Habari za kusema bado yupo sana zinaletwa na watopolo. Kuhusisha watu wengine ni ujinga na upumbavu. Kaeni huko huko mkubaliane viongozi na wala mihogo wao. Inawezekana Injinia anataka kumuuza halafu aseme ameenda bure
Jobe yuko huru, kambebeni kama mlivyowabeba akina Boban, Mkude, Okra na ChamaMakasiriko kya nini bro!?
😂 ihefu..Guede je?🥲
😂 🤣 😆 umenikumbusha mbali anaitwa Onoda, alikuwa second lieutenant wa Jeshi la Japani vita iliisha mwaka 1945 WWII yeye akaendelea kupigana hadi 1974.Kuna mwanajeshi wa Japan alikuja kukubali kushindwa vita kuu ya pili ya dunia miaka ya 2000. Watu kama nyie mpo dunia nzima.