manko chacha Mseti
New Member
- Jun 15, 2024
- 1
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwannKuna watu wataipokea kinyonge Sana hii!!
walitaka mwamba asepe!!Kwann
AAABado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_
Is here to Stay 🔥 🟡 🟢
Baaasi.
Wananchi Ubingwa wa Africa tunao 😂✍️
F
Guede je?🥲
Katika siku Wana Lunyasi hawatosahau
lakini sio kwa mshahara wa mara tatu na nusu, yaani 97M kwa mweziSometimes aman na furaha ni bora kuliko pesa🤟🤟
Hili jina la mkiti wetu huwa lina nimix sana kila nikijitahidi kutamka Mangungu naishia kusema Chief Mangungo II !! Hivi Mangungu hana undugu na yule Chief Mangungo og ikawa kaondoa o akaweka u?Sasa sisi Makolo si tunaenda kupigwa 10 kila baada ya dakika 45? Professor Mangungu tafadhali usipeleke timu uwanjani.
Poleni sana. Maana mateso bado yako pale pale. Dogo Aziz Kii ni jini mnyonya damu yule!! Kamwe hatowaacha salama. Bora tu angeondoka kwenye ligi yetu.Hii tabia ya kujitekenya na kujichekesha wenyewe mnayo niya wala mihogo.
Aliyewambia ana asilimia 40 za kubaki ni yule mlima mihogo.
Anayewambia bado yupo ni muuza mihogo wenu.
Wanaofurahi ni wala mihogo wenyewe . Sasa sijui tatizo liko wapi.
Uzuri hakuna kosa alilofanya. Wananchi wamefurahi tu kuona wachezaji wao tegemeo karibia wote wamebaki.Zile zilikuwa ni siasa za mpira
Hersi alitaka kuipa mirage Yanga
Nimeshangaa sana🤣🤣 anyway Pengine mwakani akafika final CAF akachukuliwa na Timu za ulaya.Kama ni kweli basi huyo ni mpambavu wa wapumbavu.
Anatanguliza mapenzi kwa Mashabiki badala ya kutafuta pesa? Anadhani akipata majeraha au kiwango kushuka hao Mashabiki watamvumilia?
Najua hata Mashabiki wenye akili timamu wa utopolo watakuwa wanamshangaa japo hawawezi kusema.