Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una makasiriko hivyo. Moooooo atamchukua basi aje achezee Mbumbumbu FC.N
Nimeshangaa sana🤣🤣 anyway Pengine mwakani akafika final CAF akachukuliwa na Timu za ulaya.
[emoji23] [emoji1787] [emoji38] umenikumbusha mbali anaitwa Onoda, alikuwa second lieutenant wa Jeshi la Japani vita iliisha mwaka 1945 WWII yeye akaendelea kupigana hadi 1974.
Alikuwa haamin kuwa vita imeisha na alikuwa hakubal habari za kuisha kwa vita, sema kuna dogo mmoja alikuwa rafiki yake alipomfuata na kumpa taarifa hizi ndio aliiamin kweli vita hii imeisha.
daah sema usiwafananishe makolo na huyu mwamba inauma sana [emoji2][emoji3].
Kama ni kweli basi huyo ni mpambavu wa wapumbavu.
Anatanguliza mapenzi kwa Mashabiki badala ya kutafuta pesa? Anadhani akipata majeraha au kiwango kushuka hao Mashabiki watamvumilia?
Najua hta Mashabiki wenye akili timamu wa utopolowatakuwa wanamshangaa japo hawawezi kusema
Hivi kumbe wenye akili wameongezeka huko huko utopoloni baada ya wale wawiliKama ni kweli basi huyo ni mpambavu wa wapumbavu.
Anatanguliza mapenzi kwa Mashabiki badala ya kutafuta pesa? Anadhani akipata majeraha au kiwango kushuka hao Mashabiki watamvumilia?
Najua hata Mashabiki wenye akili timamu wa utopolo watakuwa wanamshangaa japo hawawezi kusema.
Ile mechi ya CR Belouzdad,mi mwenyewe sikuamini kilichotokea,aisee msimu wa 2023/2024 Yanga ilijua kutupa raha!!Katika siku Wana Lunyasi hawatosahau
Ni Derby ya tarehe 5.11.2023
- na ile mechi ya CR Belouzdad
Ukijumlisha na Mamelodi
Aiii Lunyasi hawatasahau msimu wa 2023/2024😂😂
OOh hamtoboi labda muwafunge 4... mara paaap la 4 hili ...ile siku ileIle mechi ya CR Belouzdad,mi mwenyewe sikuamini kilichotokea,aisee msimu wa 2023/2024 Yanga ilijua kutupa raha!!