Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo


Asante kwa kuniongezea maarifa kuhusu Onuda, kupitia hili andiko imebidi niende google nikamsome stori yake inavutia sana.
 

Hivi kumbe wenye akili wameongezeka huko huko utopoloni baada ya wale wawili
 
Katika siku Wana Lunyasi hawatosahau
Ni Derby ya tarehe 5.11.2023
- na ile mechi ya CR Belouzdad
Ukijumlisha na Mamelodi
Aiii Lunyasi hawatasahau msimu wa 2023/2024😂😂
Ile mechi ya CR Belouzdad,mi mwenyewe sikuamini kilichotokea,aisee msimu wa 2023/2024 Yanga ilijua kutupa raha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…