Hii ndo comment ya mhim haya mengine ni makalele, tu ,mwekezaji lazima ahakikishe dar port inakufa natural death , ili wasipata ushindani wowote, na hatimaye wabaki wamyewe huo ndo ukweliBandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa pasipo kuzuia utendaji wa bandari zingine, ni sharti la lazima linasemwa kuwepo ndani ya mkataba. Huwezi kupata vyote.