Hii ndo comment ya mhim haya mengine ni makalele, tu ,mwekezaji lazima ahakikishe dar port inakufa natural death , ili wasipata ushindani wowote, na hatimaye wabaki wamyewe huo ndo ukweliBandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa pasipo kuzuia utendaji wa bandari zingine, ni sharti la lazima linasemwa kuwepo ndani ya mkataba. Huwezi kupata vyote.
Hii ndo hoja ya msingi Piga huwa kipengele cha kuazuia kuendeleza , bandari nyingne kikiondolewa mwekezaji hawezi kusaini huo mkataba Piga uaNashukuru wewe umenielewa vizuri sana,ikiwa mkataba wake utazuia utendaji wa bandari zingine na pia kuzuia MAMLAKA zetu katika kukusanya mapato ni kwamba #MRADI_HUO_HAUTUFAI.
Una umuhim gani ili hali hata mfagiaji wa mwisho atatoka china ,na serikali amna kuitia mguu hapoBagamoyo special economy zone ni mkombozi wa ajira ila shida hapa ni matango pori watu walilishwa basi wao ni kupinga tu ila huu mradi ni muhimu
Hii ndo comment ya mhim haya mengine ni makalele, tu ,mwekezaji lazima ahakikishe dar port inakufa natural death , ili wasipata ushindani wowote, na hatimaye wabaki wamyewe huo ndo ukweli
Mkataba ndio tatizo. Kama ndivyo unaanzishaje mazungumzo bila kurekebisha? Mazungumzo yalishavunjika kwa sababu hiyo. Au tinaenda kukubali yaishe?Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
31tKwani gharama za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni TSH ngapi?
Hayo ndio matango pori ndugu nachojua mm kuna ajira rasmi za wazawa zaidi ya laki 2Una umuhim gani ili hali hata mfagiaji wa mwisho atatoka china ,na serikali amna kuitia mguu hapo
Akili ndogo kwani ikiwa bandari ya Bagamoyo itajengwa ndio itakuwa mwarobaini wa tatizo la ajira nchini? huyu bwana alikuwa waziri mbona hakutoa huo ushauri pori kwenye baraza la mawaziri? hawa ndio wanjisogeza na viten%, hawajui kuwa kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo ambayo ipo opua na mdomo na ya Dar Es Salaam kutaua bandari ya Dar Es Salaam ambayo tayari ina miundo mbinu mikubwa zaidi, wanaodai hivyo basi wadai hata Airport mpya ijengwe Bagamoyo, hizi kelele zilizoibuka kuhusu bandari ya Bagamoyo sio za bure, kuna mkono wa mtu mzito anayewatumia watu wake,hii ni fursa kwake yeye na maswahiba zake, wanataka kuturudisha kulekule kwa '' unanijua mimi ni nani''Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Ndio Bandari bora kabisa na ina kina kirefu cha asili.hizo meli kubwa haziwezi kuingia Dar, kwanini zisipelekwe mtwara ambayo ni natural port mpaka hapo mtakapo baadaye miaka 10 au 20 inayo kuja baada ya wachumi na wana sheria kuupitia vizuri,sio wanasiasa.
Jiwe ana siku 100 anzia kule kwanzaWote wanaoshadadia mambo ya kipuuzi makaburi yao yatakuja kufungwa pingu
Sasa kama SGR tunajenga kwa trilion 20 kwa mikopo na fedha za ndani! Je, kwa nini tusianze kujenga bandari ya Bagamoyo hata ya trilion 10 kwa fedha za ndani na mikopo yenye masharti nafuu, halafu tutakuwa tanaikamilisha taratibu mana eneo si linakuwepo?
Fanya kama ulivyoambiwa...Sorry nimeambiwa wewe unajua sana than any other person(s), so we should listen / or agree with U
Maoni mazuri sana.Sasa kama SGR tunajenga kwa trilion 20 kwa mikopo na fedha za ndani! Je, kwa nini tusianze kujenga bandari ya Bagamoyo hata ya trilion 10 kwa fedha za ndani na mikopo yenye masharti nafuu, halafu tutakuwa tanaikamilisha taratibu mana eneo si linakuwepo?
Yaani kwa lugha nyingine, serikali na wananchi tuijenge bandari kwa phase, kwa sababu uhakika wa soko upo! Pesa itarudi tu!
Never argue with a fool, people might not notice the difference, keep it UpFanya kama ulivyoambiwa...
Kwa hiyo wewe ni fool?Never argue with a fool, people might not notice the difference, keep it Up
Huyu naye amenawa lini na kwa sabuni gani? Hii ni Msoga TimuMbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Huyu Mzee huyuMbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
So it has hit U well that I have been refused not argue with a baboonKwa hiyo wewe ni fool?