B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
1,054
Reaction score
1,617
Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.

Screenshot_20250622-150234_X.jpg
 
Iran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.

Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
Ayatollah na genge lake wapuuzi sana. Wanayaunda huku wakijiapiza hadharani kulifuta taifa lingine na kufadhili makundi lukuki ya kigaidi dhidi ya taifa hilo lingine! Ni mwehu tu atanyamaza.
 
Kwahiyo Sasa ugomvi wa US na Irani umeisha si ndio?
 
Halafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Hakuna uwanja yaweza kutua nchi yoyote isipokuwa Us pekee.
Uk kuna uwanja lkn ni wa mazoezi pekee.
Australia pia inaweza kutua kwa dharura kwa mazoezi tu.

Kikubwa zaidi wanalinda usiri wa tech yao, hata Israel mshirika wao mkubwa haiwezi kutua
 
Iran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.

Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
Tatizo Iran anafadhili vikundi vya kigaidi na gaidi akimiliki nuclear bomb dunia ndio imekwisha ni watu hawawaelewi tu Israel na USA. Just imagine Boko Haram au Al-shabaab wanamiliki AK 47 lakini ni wasumbufu je wakiwa na nuclear dunia itakalika?
 
Back
Top Bottom