HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Wanapewa vidonge vya kutolala maana wanakuwa watu 3 pekeeKwahiyo rubani wa hilo dude hajalala kwa masaa 37 au linajiendesha lenyewe?
Wanapewa vidonge vya kutolala maana wanakuwa watu 3 pekeeKwahiyo rubani wa hilo dude hajalala kwa masaa 37 au linajiendesha lenyewe?
Wametumia $350+m kwenda kurusha mabomu sita ambayo hayajafanya kazi inavyotakiwa kiasi netanyahu kaanza kupiga tena fordow
Halafu imeshindww kupiga sehemu muhimu , wametapeliwa walipa kodi wa USA.
Mimi ni raia wa kawaida ila movie zao huwa nazielewaKwasababu hawakutaka kufanya hivyo. Wewe ni nani wa kumuamulia marekani jinsi ya kuzika kobaz?
Kama mh Dk Freeman mbowe ?Wanasoma upepo
🤣🤣🤣🤣🤣Wakipata sketeleton drawing kwanini washindweHivi veta hawawezi kutengeneza hili dude
Wanaweza hakuna kitu kigumu🤣🤣🤣🤣🤣Wakipata sketeleton drawing kwanini washindwe
😄😄😄Kama mh Dk Freeman mbowe ?
Tatizo Iran anafadhili vikundi vya kigaidi na gaidi akimiliki nuclear bomb dunia ndio imekwisha ni watu hawawaelewi tu Israel na USA. Just imagine Boko Haram au Al-shabaab wanamiliki AK 47 lakini ni wasumbufu je wakiwa na nuclear dunia itakalika?
Sahihi.....! Yani kama Iran angekua na Nyuklia angekua siku nyingi kaipiga Israel, Iran ana Kisirani hasa, siwezi kusema Cha kidini....! Coz Nchi zile kubwa za Kiarabu kama Saudia na UAE walishaachana na mihemko ya kidini.
Iran ikimiriki Nyuklia, ni hatari SI tu Kwa Israel, ila Kwa Ulaya na Marekani....! Na Wazungu hawatakaa washuhudie Iran kumiriki Nyuklia mpaka Dunia inaisha.
Mkuu yani hata nilikosea kumbe siyo pipa moja Kwa sekunde dude unaambiwa kumbe linakunywa mapipa matatu Kwa sekunde likiwa hewani maamae.Na wewe ukaamini huo upupu, unaijua sekunde 1 na ujazo wa pipa moja?
Iran Hana Silaha za Nyuklia, sema ndiyo yupo kwenye process za kurutubisha Uranium, kama Iran angekua na Silaha za Nyuklia, Kwa Akili nyepesi tu, unadhani Kwa Nini Marekani na Ulaya wanataka waingie kwenye Mazungumzo na Iran juu ya project yake ya Nyuklia!?Unaposema Iran angekuwa na nyuklia angeipiga siku nyingi Israel una maanisha nini, kwamba hana? Unadhani kombora la nyuklia linapigwa hovyo hovyo tu?
Russia ana makombora ya nyuklia kibao tu umeona anayatumia kuipiga Ukraine?
Usidhani nyuklia ni kama tonge la ugali.