Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
- Thread starter
- #41
😄😄😄😄Jiwe asingewahishwa alivyokuwa na kiherehere angeweza kushusha moja pale Ngerengere!
😄😄😄😄Jiwe asingewahishwa alivyokuwa na kiherehere angeweza kushusha moja pale Ngerengere!
😄😄😄😄Anatafuna karanga tu,zinamwagwa kwenye dashboard,au viazi mviringo😀
Trump alivyotoa presidential press kaidanya dunia kwa hiyo.Hana mkweli maana mmarekani kasema kapiga, muirani kasema wala hakuna chochote.
Lakini yote tisa usisahau kuwa mmarekani ni mcheza movie ujue kwaiyo anaweza akacheza movie ingine.
SubiriIran ipigwe kisawa sawa, ndio chanzo Cha vikundi vya kigaidi
Sahihi.....! Yani kama Iran angekua na Nyuklia angekua siku nyingi kaipiga Israel, Iran ana Kisirani hasa, siwezi kusema Cha kidini....! Coz Nchi zile kubwa za Kiarabu kama Saudia na UAE walishaachana na mihemko ya kidini.Iran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.
Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
Ili tuyafanyie nini? Watoto wa shule wakanye humo? Hadi sasa tanzania tunapambana kupata matundu ya choo, na vibanda tunavyoita madarasa, hata hospitali za maana bado hatujawazia bado, ndiyo tuweze kuwa na stealth bomber za billioni 2 na ushee? Trilioni 50 alizokopa mama zisingetosha kununua B2 hata moja, na hata tungekuwa nayo sijui tungemtungulia nani! Labda kenya.Ningefurahi Kuona na sisi tz tunamiliki walau madude 5 kama haya
Yeah, wakati wa kuja na kurudi huwa tunaweka tu auto pilot Sisi tunalala!😁😁😂😂Anatafuna karanga tu,zinamwagwa kwenye dashboard,au viazi mviringo😀
Ha ha ha tena Iran walikuwa wanajua kabisa ni B2 ndo zitafanya hy kazi.Halafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Nafikiri uwepo wa kisiwa cha Diego Garcia ndo umechangia silaha hizo kutua zaidi kwenye kambi hiyo, sio kwamba Israel haina uwanja huo.Hakuna uwanja yaweza kutua nchi yoyote isipokuwa Us pekee.
Uk kuna uwanja lkn ni wa mazoezi pekee.
Australia pia inaweza kutua kwa dharura kwa mazoezi tu.
Kikubwa zaidi wanalinda usiri wa tech yao, hata Israel mshirika wao mkubwa haiwezi kutua
WAIRan wa Tandahimba wanasemaje ?Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
View attachment 3378802
Ndio mnavyodanganyana ? Mfadhili na muundaji wa vikundi vya kigaidi ni Marekani.Iran ipigwe kisawa sawa, ndio chanzo Cha vikundi vya kigaidi
Mzungu akili nyingi sana, halafu watu wanampambanisha na Mchina.B2 spirit Iko vizuri ila chuma nayoikubali zaidi ni B1-B lanser tatizo moja tu sio stealth kama B2 ila B1 kamzidi Kila kitu B2 kuanzia speedy Hadi payload
WAIRan wa Tandahimba wanasemaje ?
Tuliambiwa osama alizikwa baharini na wewe ukisikia taarifa hii waweza amini kweli, sadam Hussein mbona hawakumzika baariniTrump alivyotoa presidential press kaidanya dunia kwa hiyo.
Unaambiwa linakunywa pipa moja zima la wese Kwa sekunde lipaapo maamaeUnalazaje $2b kwa hilo dege moja tu. Lina piga na linasepa ili lisije tekwa watu wakaibia technology ya wenzao
Rubani ni wawiwili tu halafu ni machalii tu college drop outs. Licha ya urubani mkono wako vema ukijileta leta kikobaz vitasa vya maana utapokea.Kwahiyo rubani wa hilo dude hajalala kwa masaa 37 au linajiendesha lenyewe?
Kwasababu hawakutaka kufanya hivyo. Wewe ni nani wa kumuamulia marekani jinsi ya kuzika kobaz?Tuliambiwa osama alizikwa baharini na wewe ukisikia taarifa hii waweza amini kweli, sadam Hussein mbona hawakumzika baarini
Hivi veta hawawezi kutengeneza hili dudeB2 spirit Iko vizuri ila chuma nayoikubali zaidi ni B1-B lanser tatizo moja tu sio stealth kama B2 ila B1 kamzidi Kila kitu B2 kuanzia speedy Hadi payload