Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Eti USA tumewazidi kiuchumi 😎 🙄, Daaah Maza Comedian sana.
Sio kweli acha propaganda km ni hivyo mbona Iran amejibuMasaa 37 alafu yameenda kupiga handaki tupu
Iran wajinga sana. Yaani uunde silaha kwa ajili ya kuangamiza taifa then uachwe
Kuna muda nahisi US wanaushirikiano na ma alien.
Bei yake ni balaa kwa moja tu ila one day yesNingefurahi Kuona na sisi tz tunamiliki walau madude 5 kama haya
Nuclear siyo sufuria la makande dogo ingepigwa hadi huko kibaigwa kwenu sahivi usingekua na amani muda huuSio kweli acha propaganda km ni hivyo mbona Iran amejibu
Kweli wew kichwa maji unajua kinachojadiliwa hapa?Nuclear siyo sufuria la makande dogo ingepigwa hadi huko kibaigwa kwenu sahivi usingekua na amani muda huu
Yan we kilaza ndo uniulize kuwa mi najua nini kinajadiliwa?Kweli wew kichwa maji unajua kinachojadiliwa hapa?
Sio tu USA, tumewazidi hadi Ulaya
Kwa IQ yako hiyo ndogo km ya bata mzinga inabidi tukupe shule hivyo hivyo hakuna namna. Unauliza maswali km upo na wanakijiji wenzako huko kolandoto.Yan we kilaza ndo uniulize kuwa mi najua nini kinajadiliwa?
Halafu utasikia Makobazi wanasema Israel anapigka! Sikia DJT mzee wa MAGA anachosema. Yamembonda M-Persia sasa yanarudi US. All planes are safely on their way home!😁😁😂😂Halafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Mkweli nani sasaDunia ya sasa huwa nacheka kuona vitu viwili anayepost na anaye comment. Hakuna hata mmoja aliyemkweli
Mmarekani muongo, muisraeli muongo, muirani vile vile muongo
Hana mkweli maana mmarekani kasema kapiga, muirani kasema wala hakuna chochote.Mkweli nani sasa
Jiwe asingewahishwa alivyokuwa na kiherehere angeweza kushusha moja pale Ngerengere!Ningefurahi Kuona na sisi tz tunamiliki walau madude 5 kama haya
Anatafuna karanga tu,zinamwagwa kwenye dashboard,au viazi mviringo😀Kwahiyo rubani wa hilo dude hajalala kwa masaa 37 au linajiendesha lenyewe?