Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
Ayatollah na genge lake wapuuzi sana. Wanayaunda huku wakijiapiza hadharani kulifuta taifa lingine na kufadhili makundi lukuki ya kigaidi dhidi ya taifa hilo lingine! Ni mwehu tu atanyamaza.Iran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.
Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
Kubwa la makobazi kufundishwa adabu kwa kweliHuko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
Unalazaje $2b kwa hilo dege moja tu. Lina piga na linasepa ili lisije tekwa watu wakaibia technology ya wenzaoHalafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Inawezekana, wanaogopa teknolojiwa kuchukuliwa.Halafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Zote ni siasaMasaa 37 alafu yameenda kupiga handaki tupu
Hakuna uwanja yaweza kutua nchi yoyote isipokuwa Us pekee.Halafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
Jamaa anatengeneza sumu ya kuua jirani huku linatangaza mtaaniIran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.
Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
Na ndio ilichofanyaHalafu wanasema hayo madude hayalali nchi ya kigeni. Yanachapa na kurudi nyumbani kupumzika.
πIran ipigwe kisawa sawa, ndio chanzo Cha vikundi vya kigaidi
Tatizo Iran anafadhili vikundi vya kigaidi na gaidi akimiliki nuclear bomb dunia ndio imekwisha ni watu hawawaelewi tu Israel na USA. Just imagine Boko Haram au Al-shabaab wanamiliki AK 47 lakini ni wasumbufu je wakiwa na nuclear dunia itakalika?Iran angeyaunda hayo ma nuclear bila kuitishia kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Wala kusingekuwa na shida.
Sasa uunde nuclear huku ukiunda na vikundi vya kigaidi. Nani wa kukuelewa ?!
ππKubwa la makobazi kufundishwa adabu kwa kweli