B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

Hamna profesa analipwa Salary ya 4m Wala 3ms, hizo ni salary scales za lecturers,si za maprofesa
 
Jibu liko wazi, hapo maana yake Hakuna meneja wa vipindi na uzalishaji, na kama yupo unaanza na huyo akatafute kazi sehemu nyingine hawezi kazi.
Schadenfreude Mange Kimambi tayari kaiba Comment hii hapa kaenda kuiandalia gazeti lake huko instagram na kujifanya anamshauri majizo.

Ingekuwa wanafanya hivyo kwake ungekasikia Kigagula kinalalamika kuibiwa contents kumbe upumbavu mtupu.

Halafu wengi hawawezi kuamini jina la Dada wa Taifa nilimpachika Mimi kimasihara hapahapa JF kakomaa nalo mpaka leo na hajawahi kuisalute JF zaidi ya kuvijaza vipumbavu vyake humu kumtetea ujinga wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama ubaya kazi anayo
Atakua anatamani apate dawa za kumroga dozen aachike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwan Dozen hazijui? Mama ubaya anachuki na Dozen kisa mara ya kwanza ndoa ilikataliwa, Dozen aligoma, chezeaa mke mkubwaa weyeee,

Bas baada ya ndoa mama ubayaa ndo akaona alipe kisasi, ila kapelekeshwa hasa akiwa na mimba ya G, Bila fumanizi sijuiii.

Ila Dozen anapendwa na Baba G.
 
Unapenda sana hizi habari eheee?
 
Kweliii, hii nimekubali
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila andunje bana kwa mashauzi hakuna anaemfikia,nasikia kafanya sherehe ya kumtoboa mtoto masikio🤣🤣🤣🤣
 
Hii sasa vita ya Efm na Wasafi fm imepitiliza.

Maulidi Kitenge amerudi tena Wasafi fm na Gerald Hando kahamia kwa mara ya kwanza ikiwa nadhani baada ya kufungiwa na Majizo kwa miezi mitatu.

Wanasikika kipindi cha Goodmorning kuanzia leo
Akina nani wanaondolewa kuwapisha hao!? Au kama timu ya mpira kuna wengine itabidi waanzie benchi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…