Aise hatari sana ilikuwaHapo mwika ndipo nilipokuja kujuwa kuna chakula kinaitwa kokoto, Yani ugali na kokoto.
Kuna breakpoint nao wakawa na roast yao wanaiita Jirambe.
Aisee watu wa Moshi Arusha kwenye majiko ni wabunifu Sana.
Jamaniiii....uke wangu nisiujue hali inayopitia kweli....
Bamboo kulikuwa na ugali utumbo mixer mchicha unaungwa nazi, halafu bei ya kizalendo.Aise hatari sana ilikuwa
Ukienda Hugo napo pale walikuwa
Na makange fulani safi sana
Ova
Hahaha, umenikumbusha mzee Matonya ombaomba maarufu Tz nzima, mzee Makamba mwenyewe alimnyoshea mikono juu.. mimi sikuwa naishi Nkrumah exactly ila ni stone throw away. Nilikuwa Livingston str. Sema lazma tunafahamiana.Mzee nitakuwa nakupata kama umekulia Nkrumah ule mtaa familia zetu sisi wamatumbi zilikua familia tatu mtaa mzima waliobaki ni wahindi na waarabu, jioni tunaenda kununua mikate na cone kwa bakhresa, matonya enzi hizo anapenda kulala chini hapo kwenye mataa then ananyosha kopo lake juu tunamwekea mawe anajua hii so pesa anatupa.
Bar za sasahv zimeingilia majukumu ya night clubsRIP mzee wangu John fedha
Aise umenikumbusha mbali sna
Sahv bar ukienda ni kama sehemu ya kucheza mziki tu
Ova
Hahaha..majirani ni watu poa sana ukiwa nao ni huku mitandaoni ndio tunazinguanaMkuu hilo jina la bazenga ukiwa Kenya hasa Mombasa,malindi,lamu linamaana ya mtu mwenye ukwasi sana au tajiri mwenye pesa nyingi nilikua na Toto moja la Kikuyu anaitwa magiri alikua anapenda kuniita hill jina la bazenga.
π€£ π€£ π€£Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.
Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
Kweli kabisaBar za sasahv zimeingilia majukumu ya night clubs
KaribuMadam,nitakuchek nipo Dodoma pia
Aibu aliona....View attachment 2972674
Manka aliruka akakataa utadhani ni kitu cha ajabu.
Mimi hiko tu ndio kilikuwa kinaniacha hoi.Pale ben pub kuna siku nimetulia mule na mwanangu niko high sielewi ...jamaa ananiambia oya tuchole mi bila kuangalia muda namwambia mbona mapema mzee tuvute jamaa ananiforce naona acha nitoke zangu ile natoka nje aisee asubuhi kweupe dah! naangalia muda ni saa 2 inakalibia na nusu aisee nikajisemea tu hii sasa too much [emoji1787][emoji1787]jau sana mule [emoji1787][emoji1787]
Anakula bata balaaKuna time alikuwa anashinda governors kwule yaaah tule mwenye rasta ndio kaachiwa zile frame pale aisee noma kweli
Yule rasta ana mawe balaa.Yaaah namkumbuka ila wale mademu bwana wana nyege na mademu wenzao, kuna siku nlikuwa ben pale wakaja walikuwa na birthday party ikabid me niage zangu pambano yamekuja kila mtu na beb wake alafu yule rasta ndio incharge
ππππππAnakula bata balaa
Sema walizaliwa 3, wengine wako nje ya nchi, wamemuachia nyumba na fremu ili zimsukume maishani....ila nae alikuwa anapelekewa moto na vidume kama kawa, usicheze na nyegge.
Vinaniboaga sana yan utakuta vimevaa mlegezo yan vinajifanya vihuni kinoma πππYule rasta ana mawe balaa.
Fremu zile mbele na kule pembeni, acha nyumba ile kapangisha upande.
Acha tu
Sema visagaji vya Kinondoni B vichafu sana.
Sijui vinafanyaje fanyaje, utakuta demu ananuka kwapa, ana michirizi ya mkorogo mapajani na usoni eti ndio tomboy.
Ila vilikuwa navyo vinapelekewaga moto na masela mpaka vinazalishwa.
Tangu lini tom boy akazalishwa, wanaigiza tu wale, njaa ikiwabana wenyewe wanarudi kwenye uanamke kucheza na mijegeje.....chezea njaa wewe.
Njaa haina tom boy wala msela....πππ
Hatari na nusu.Vinaniboaga sana yan utakuta vimevaa mlegezo yan vinajifanya vihuni kinoma πππ
πππππ alafu pale masai jumma nne sikuiz kuna bendi eeh ? Mana wahuni wa mwananyamala wakutosha bend au baikoko ? Unakuta nje wahuni kibao wamezagaa! Anyways mwanamke bwana awe na haiba ya kike na wakiume awe na haiba ya kiumeHatari na nusu.
Sahv vi tom boy vya kule Copacabana vyote vimezalishwa, vinauza magenge ya bibi zao sasa hivi.
Kipindi kile ukiingia pale Masai Club, eti unakuta vi tom boy vimekaa na videmu vyao vya Mwananyamala kwa Manjunju au kule Royal huku vinakunywa soda...π₯΄
Na vipensi vyao vya buku jero kule Karume.
Ngachoka mie....tom boy akiingia club anakugongea bia, ukimnunulia anakwambia umnunulie na demu wake...π€
Sa si bora wabaki kuwa marijari wa kike kama sisi tu, wabanduliwe kazi iishe.
Nilikuwa nacheka sana kipindi hiko.
Kwa sasa sijui ratiba ya pale maana nilishahama Dar kitambo.πππππ alafu pale masai jumma nne sikuiz kuna bendi eeh ? Mana wahuni wa mwananyamala wakutosha bend au baikoko ? Unakuta nje wahuni kibao wamezagaa! Anyways mwanamke bwana awe na haiba ya kike na wakiume awe na haiba ya kiume
Watoto wa manjunju wa kutosha aloo acha kabisa miyeyusho sana marneo yale sema siku ambazo hakuna events ndio kuna utulivu kidogo unaweza ukakaa ukaangalia hapa mipira mipira watu wengi saivi wanapenda hapa barabaran hapa sheli ya mwanamboka kwa pemben kuna sehemu inatwa las karinyo ndio afadhali kuna ustaarabu na sababu ni sehemu ya askari,Kwa sasa sijui ratiba ya pale maana nilishahama Dar kitambo.
Ila wakati nakaa zangu Kino, nilikuwa mitaa ile napiga zangu sana ruti.
Wahuni wanaharibu sana sehemu za starehe.
Ila kuna wahuni wengine wala hawanaga shida na watu, ila wengine sasa....πππ