Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

Kuna Warusi wa Bunyokwa huku hili hawakumbuki
 
Bro allah kashakula kona, stuka
 
Wewe unayelalamika ni nani, je ni assad au muasi uliyechuka nchi?
 
Naona unawalaumu Urusi na Iran, ila mbona askari wa Assad walikuwa hawapigani?jeshi lililo na vifaa bora kabisa linapinduliwa na watu wanatumia pick ups na noah?
 
πŸ˜…πŸ˜…

Unaishi miaka ya Mtume. Karne nyingi Sana nyuma.
Dunia iko mbali Mkuu.

Unazungumzia Allah kwenye Karne ya 21 kweli?

Watu wanarusha vyuma wewe unaleta habari za Allah kama kina kinjektile
 
Hakuna kitu Hapo Bado ubaya ubwela kati ya shia na sunniπŸ™„πŸ˜œ
 
πŸ˜…πŸ˜…

Unaishi miaka ya Mtume. Karne nyingi Sana nyuma.
Dunia iko mbali Mkuu.

Unazungumzia Allah kwenye Karne ya 21 kweli?

Watu wanarusha vyuma wewe unaleta habari za Allah kama kina kinjektile
Hajui Allah aliomba Dua mbaya Kwa MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE WAYAHUDI NA WAKRISTO WOOTE akapuuzwa Hadi Leo Wakristo na Wayahudi wanadunda!
πŸ‘‡πŸ‘‡
ΩˆΩŽΩ‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽΨͺِ Ψ§Ω„Ω’ΩŠΩŽΩ‡ΩΩˆΨ―Ω ΨΉΩΨ²ΩŽΩŠΩ’Ψ±ΩŒ ابْنُ Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω ΩˆΩŽΩ‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽΨͺِ Ψ§Ω„Ω†Ω‘ΩŽΨ΅ΩŽΨ§Ψ±ΩŽΩ‰ Ψ§Ω„Ω’Ω…ΩŽΨ³ΩΩŠΨ­Ω ابْنُ Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω Ϋ– Ψ°ΩŽΩ°Ω„ΩΩƒΩŽ Ω‚ΩŽΩˆΩ’Ω„ΩΩ‡ΩΩ… Ψ¨ΩΨ£ΩŽΩΩ’ΩˆΩŽΨ§Ω‡ΩΩ‡ΩΩ…Ω’ Ϋ– ΩŠΩΨΆΩŽΨ§Ω‡ΩΨ¦ΩΩˆΩ†ΩŽ Ω‚ΩŽΩˆΩ’Ω„ΩŽ Ψ§Ω„Ω‘ΩŽΨ°ΩΩŠΩ†ΩŽ ΩƒΩŽΩΩŽΨ±ΩΩˆΨ§ مِن Ω‚ΩŽΨ¨Ω’Ω„Ω ۚ Ω‚ΩŽΨ§ΨͺΩŽΩ„ΩŽΩ‡ΩΩ…Ω Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω ۚ Ψ£ΩŽΩ†Ω‘ΩŽΩ‰Ω° ΩŠΩΨ€Ω’ΩΩŽΩƒΩΩˆΩ†ΩŽ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Wewe naona unaota ndoto, hujui Israel wana Mungu wao kiboko anayeitwa Yahwe au Mungu Jehova na huyo allah mungu wa kiarabu ni cha mtoto kwake, wewe huoni Israel mambo yanavyozidi kuwanyokea.
 
Kwani hujui keanini ameenda buffer zone?
 
Wewe naona unaota ndoto, hujui Israel wana Mungu wao kiboko anayeitwa Yahwe au Mungu Jehova na huyo allah mungu wa kiarabu ni cha mtoto kwake, wewe huoni Israel mambo yanavyozidi kuwanyokea.
Siku zote taifa au kiongozi kabla hajanguka mambo yanamnyokea, hata Assad yalimyokea kwanza 🀣
 
Naona unawalaumu Urusi na Iran, ila mbona askari wa Assad walikuwa hawapigani?jeshi lililo na vifaa bora kabisa linapinduliwa na watu wanatumia pick ups na noah?
Askari wa Assad waliambiwa wasipigane na waziri wa jeshi lao pamoja na Chief of Staff wao. Je ni Assad ndio aliwambia au wao ndio walimgeuka.
 
Yumkini, hayo yanayofanywa na Israel yamo kwenye makubaliano na hao wapiganaji.

Israel ndiyo iliyomaliza nguvu za kijeshi za Iran na Hezbollah, na hivyo kutoa mwanya kwa hao wapiganaji wa Syria, kuchukua Serikali kiurahisi, kwa sababu hakukuwa na nguvu za kijeshi za kumsaidia Assad. Lakini kuna hofu kuwa Iran na Hezbollah wanaweza kujijenga upya na kutaka kuiondoa serikali mpya. Nchi pekee wanayoitegemea kuzuia hilo kutokea, ni Israel. Hivyo israel ina nafasi ya kutoa mapendekezo vifaa vyake vya ulinzi wa anga vikae wapi ili kuidhibiti Iran isiidhoofishe Serikali mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…