Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana na huyo Allah wakoTatizo sio Israel tatizo ni Qatar, Turkey na Saud Arabia walimuahidi Mrusi maslaha yake yatabaki hivyo Assad lazima atoke. Pia Saud Arabia na badhi ya nchi za Gulf target yao ni kuimaliza Hamas na Hezbullah ili wao wabaki kwenye viti vyao, wanadhani kumkubatia US watakuwa kwenye safe zone. Hivyo ndivyo wafalme wa kiarabu wanadhani kama alivyo dhania Assad kuwa Mrusi atamlinda. Tokea lini wavaa misalaba na .ashiga zao wayahufi wakawa waminifu na wakweli?
Israel kaona hio ni fursa kwake kuvunja silaha za Syria, ili watakao tawala wawe wanakubali wanacho ambiwa na Israel.
Bashar Assad alipewa offer awachane na Iran na Urusi, na Syria itajengwa kuliko mwanzo akakataa, hicho ndicho kilicho mponza hakutegenea Mrusi na Iran watamuza vile.
Any way hatujui mipango ya Allah, si ajabu hawa ndio wakamuondoa Israel pale. We huoni Israel anapiga silaha na viwanda vya kutengeneza silaha, anacho ogopa ni kitu gani? Kaona hao jamaani hatari wameweza mpindua Assad kwa silaha walizo kuwa wanateka kwenye majeshi ya Assad, itakuwa balaa wakiwa na silaha kali. Israel alicho furahi hao ma rebels wa Syria kumpindua Assad, ni kuweza kukataa mawasiliano kati ya Syria, Hezbullah na Iran lakini hajui Allah naye huwa ana mipango yake. Ukizuia huku ana fungua huku, si ajabu tukasikia Egypt na Jordan wamepindua waislam hapo ndio patakuwa patamu.