Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

It will never happen. We jiulize hizi kelele zote za nini. Kuna kitu kitatokea in case watawala wakikaidi. Uzuri wa nchi yetu ina mkono wa Chuma hasa baada ya mzalendo Dkt Magufuli kujenga ujasiri wa watu kuhoji na kujiamini. Hivyo ondoa wasiwasi Sultan Mangungo Story will never repeat! Wao wenyewe viongozi wanajua kabisa the burning fire in the middle of nowhere.
 
Reactions: Ame
Kwa mawazo yako mwenye akili atakubaliana na ufisadi wetu sisi wenyewe usiotufikisha popote?.

Tusikariri kuwa kila mwekezaji anakuja kutuibia, tunavyojiibia sisi wenyewe ni vibaya zaidi kuliko wanavyotuibia hawa wageni.
Mungu akusamehe hujui utendalo...
 
Ameen...Acha nikuamini kwa maneno yako
 
Hebu thibitisha ni wapi inaonesha bandari imebinafsishwa miaka 100
Hebu tusaidie na sisi wengine kufahamu

Ova
Kasome Azimio ndiyo uje urudi kubisha...Usisome kama mtu anayejua kusoma na kuandika ukaja hapa kutuonyesha kujua kwako, kasome between the lines ipo wazi hapo...Mwanzoni hata mimi nilibisha ila sasa nimejidharau mwenyewe....Kweli waliofanya haya wametusoma na wametudharau kupitiliza
 
Aje dp world au mwingine wakati tayari mshasainishana na dp world. Hio wizi unaousema haupo kwenye utendaji kwa wafanyakazi wa bandari tu hata kupata hao wawekezaji nao ni wizi. Unajua mchakato hadi kapatikanaa huyo dp world?

Pia Kama tatizo wote sisi ni wezi na wala rushwa unaamini vipi kwenye kupata hao wawekezaji hakuna rushwa?
 
Unategemea watakuambia huo uwekezaji ni mbaya ikiwa washaamua kufanya hivyo?

Kwenye madini mmelia miaka yote, kwenye gesi mmelia, Ila mnasubiri maajabu kwenye bandari[emoji3][emoji23]
 

Ukiona hadithi kama hizi, inatukumbusha ubaya wa watu watu wachache walivyojipanga kugawana keki yote ya Taifa. Haya yanafanywa na watu wale wale tena bila aibu wala uzalendo.
Kashfa hizi zinalitia sana doa Taifa letu. Watu wanaozifanya waogope mkono wenye nguvu wa Mwenyezi Mungu maana kama kutatokea madhira, basi sisi sote tutakuwa wahanga.
 
Yule mwendazake ameyasababisha yote haya, kutuletea wabunge Hawa, na Yule makamu aliyetuletea
Makubaliano yalishaafanyika nje ya bunge, mwaka Jana kwenye ziara walishasainishana. Bunge hakuna kitu wanafanya tena
 
Unategemea watakuambia huo uwekezaji ni mbaya ikiwa washaamua kufanya hivyo?

Kwenye madini mmelia miaka yote, kwenye gesi mmelia, Ila mnasubiri maajabu kwenye bandari[emoji3][emoji23]
Wamejaa waongo na wababaishaji. Wezi wasioweza kutumia akili zao kufikiria. Hii mikataba inalisaidia nini Taifa letu?
 
Nilivoona Jana nikasema Sasa huu mkataba una tofauti na WA chief mangungo jamani
Nilichoka sana ila hii nchi Inatia hasira sana
 
Hebu thibitisha ni wapi inaonesha bandari imebinafsishwa miaka 100
Hebu tusaidie na sisi wengine kufahamu

Ova
Makubaliano yanahusisha land acquisition na land rights zote, ambazo kwa uwekezaji huwa ni miaka 99.hiyo 99 ndio watu husema 100
 
Bandari ipi iliyobinafsishwa kwa miaka 100?

Ushahidi tafadhali.
 
Mchicha eneo la wazi la mji upumue badala ya kupanda miti wamepewa walamba asali wamejenga bandari kavu hadi wamebana njia ya reli Yombo.
Kota za tazara wamezibomoa zimeguzwa bandari kavu ya walamba asali si kwa faida ya taifa.
Yaani pale palikuwaga Pana uwazi na kota Sasa hivi wamejenga banadari kavu na fire station sijui Ile
 
[emoji1787][emoji1787]sio pemba mkuu ni Unguja
 
Mkataba una Ulaghai na Uongoo mwingii.. Hakuna mtu wa kukarabatia Bandarii na kuongeza ufanisi alafu Kubali mkataba wa Mwaka mmoja HAYUPO HAYUPOO. maana ukarabati tu unaweza chukua jaribu mwakaa labda kama ndp magumashi wanakuja Kuendelea kuongoza watu weusi tu bila kufanya mabadiliko ya Miundo mbinu maana kweli akili zetu ZIMEDUMAAAAA.
 
We have modern day mangungos
Yani kukubali hili suala Leo mwaka 2023 kwa kweli ni Zaidi ya Mangungo...! Mangungo afadhali utasema alikuwa mshamba ila leoo Nchi ina Maenginia wasomi wamejaa mtaani.. Hizp cranes zinauzwaa kila konaa..Vifaa na mashine za kununua na kuweka pale bandarini zifanye kazi kibaoo alafu leo tunaleta Muarabu aletee waarabu wenzake walipane Mabilion. SHAME SHAMEE..AIBUUU AIBUUU.
 
Hata Mimi nashangaa

Kitu Gani kimeshindikana au ni tabia zetu za wizi na udokozi mali za umma ndio zimeshidnikana.

Vifaa viko

Wataalanu na utalamu upo kama haupo Kuna vyuo vya kozi husika

Wataalanu wa kada zingine related na bandari wapo.

Wark force ya Taifa Ipo why mambo yawe hivi

Karne hii ya 21 unampa mgeni akuuuzie duka lako kweli si ataanza kuuza na bidhaa zake kwanza wewe utakula hasara ya Karne

Hii nchi hatujaaliwa vitu viwili AKILI NA UZALENDO basi
 
Uafrika hasa utanzania ni LAANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…