Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Miaka 99 ongeza miezi 12 kuna maajabu sana kwenye uongozi wa kisiasa TanzaniaKwamba bandari ya Daresalaam imekodiwa kwa miaka 100?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 99 ongeza miezi 12 kuna maajabu sana kwenye uongozi wa kisiasa TanzaniaKwamba bandari ya Daresalaam imekodiwa kwa miaka 100?
Tafuta na uisome ujionee kama ni sahihi kuliko kuanzisha maongezi yasiyo na kichwa wala miguu. Punguza uvivu tafuta mwenyewe na uisome kwa kina.Kumbe huna umeiona mtu kaiweka humu JF una uhakika gani kama ni sahihi.
we ni mnafiki kama wanafiki wenzio waliouza bandari utadhani wao na vizazi vyao wamepata uhamisho kuhamia nchi nyingine na kuishi huko milele!!NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.
Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?
Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.
Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.
Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.
Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?
Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Unalindajee maslahii wakati yeye ndo main operator?? anyway kiukweli waafrika sisi ni wezi sanaa ila mbona kuna makampuni kama voda wanasimamiwa na wakurugenzi kutoka nchi za wenzetu wanawin tu bora ubadilishe uongozi ila sio kubinafsisha kabisa bandarii... leo unaona watanzania wanaibaa ila amini hao waarabu wataiba zaidi maana wapo na watu wajingaaa ambao unawapa kioo wanakupa almasi. Kuna shirika la elimu kibaha lilikufa huku tunaliona kwa machoo baada ya wazungu kuliweka chini ya uangalizi wa waafrika yote sababu ya wizi so nakuelewa ila linapokuja suala la bandari kumpa mwarabu kisa waafrika wezi haimake sense bhas WAZUNGU WARUDI KUTUTAWALAAA.Mkuu mwafrika ni mwizi tu, kila report ya CAG ni madudu kwa kwenda mbele. Hatuna kipya chochote cha maana, ni mwendo wa urasimu ili mteja achukie atoe rushwa, bullshit kwa kifupi.
Waswahili hatuna uchungu na chetu, unajenga mazingira ya kuuchelewesha mzigo usitoke ili uibe ukisahau kuwa wanaousubiri mzigo huo ni watanzania kama wewe!, Taifa la kipumbavu sana hili.
Aje DP World, aje mwekezaji yoyote mwenye uwezo akabidhiwe bandarini, ilimradi mkataba uandikwe kwa umakini mkubwa ili maslahi yetu yalindwe.
Akili ya kawaida ni lazima mtu ashangae inakuwaje mgeni afikirie kuendesha bandari ya nchi nyingine lakini akili halisi yenye uzoefu wa hizi bandari haswa hii ya Dar inatosha kwa serikali kuja na wazo hili.Unalindajee maslahii wakati yeye ndo main operator?? anyway kiukweli waafrika sisi ni wezi sanaa ila mbona kuna makampuni kama voda wanasimamiwa na wakurugenzi kutoka nchi za wenzetu wanawin tu bora ubadilishe uongozi ila sio kubinafsisha kabisa bandarii... leo unaona watanzania wanaibaa ila amini hao waarabu wataiba zaidi maana wapo na watu wajingaaa ambao unawapa kioo wanakupa almasi. Kuna shirika la elimu kibaha lilikufa huku tunaliona kwa machoo baada ya wazungu kuliweka chini ya uangalizi wa waafrika yote sababu ya wizi so nakuelewa ila linapokuja suala la bandari kumpa mwarabu kisa waafrika wezi haimake sense bhas WAZUNGU WARUDI KUTUTAWALAAA.
Hakuna utetezi kwenye hili la DP maana hata mtu asiye na akili sawa hawezi fanya haya...Akili ya kawaida ni lazima mtu ashangae inakuwaje mgeni afikirie kuendesha bandari ya nchi nyingine lakini akili halisi yenye uzoefu wa hizi bandari haswa hii ya Dar inatosha kwa serikali kuja na wazo hili.
Pia kuna vita ya kutafuta nafasi ya urais wa 2025, imeanza na watu wanaparurana mitandaoni katika hizi mada haswa hii ya bandari kupewa DP World.
Inasikitisha mno, tena sana!NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.
Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?
Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.
Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.
Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.
Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?
Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Kabisa mkuuwe ni mnafiki kama wanafiki wenzio waliouza bandari utadhani wao na vizazi vyao wamepata uhamisho kuhamia nchi nyingine na kuishi huko milele!!
Nchi yetu ina viongozi wabinafsi na wenye roho mbaya bora wangempa jirani yetu Kagame.Inasikitisha mno, tena sana!
Badala ya kutafuta maarifa ya kujenga na kuendesha bandari wenyewe, tunatafuta kujengewa na kuendeshewa bandari.
Kwa lugha ya Kinyakyusa tunasema: "Tukuleka ukuloonda amahala gha kulobha iswi, tukusuuma iswi!" Yaani tunaacha kutafuta maarifa ya jinsi ya kuvua samaki, tunaomba tupewe kitoweo cha samaki na wanaojua kuvua!" Tutabaki ombaomba daima milele!!
Mimi naumia na kuumwa sana!
Afrika ubinafsi na tamaa ni laana inayohitaji mfungo wa maombi ya siku 40, watu wa sacrifice maisha yao kwa maombi labda laana itaondokaNATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.
Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?
Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.
Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.
Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.
Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?
Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Hopeless comment ever!!Yule mwendazake ameyasababisha yote haya, kutuletea wabunge Hawa, na Yule makamu aliyetuletea
Kwa mawazo yako mwenye akili atakubaliana na ufisadi wetu sisi wenyewe usiotufikisha popote?.Hakuna utetezi kwenye hili la DP maana hata mtu asiye na akili sawa hawezi fanya haya...
Mti wenye matunda mazuri ndio unaoongoza kwa kupopolewa mawe.Kwa mujibu wa Kigogo wale waliotemwa bandarini (TICTS) ndio wanaosambaza propaganda za bandari kukodishwa kwa miaka 100 kitu ambacho si kweli. Pia, ubinafsishaji mpya bandarini unaenda kuzima ulaji wa mafisadi wa bandarini ambao walikuwa wakibebwa ni mifumo kuiba mapato.
Kabisa Mkuu. Wanapata tabu sana kutwa kuibuka na habari za uongo ili mradi kukwamisha juhudi za Mama.Mti wenye matunda mazuri ndio unaoongoza kwa kupopolewa mawe.
It will never happen. We jiulize hizi kelele zote za nini. Kuna kitu kitatokea in case watawala wakikaidi. Uzuri wa nchi yetu ina mkono wa Chuma hasa baada ya mzalendo Dkt Magufuli kujenga ujasiri wa watu kuhoji na kujiamini. Hivyo ondoa wasiwasi Sultan Mangungo Story will never repeat! Wao wenyewe viongozi wanajua kabisa the burning fire in the middle of nowhere.NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa utawala wa Kikoloni Karne ya 19.
Ni wazi kabisa kizazi chetu cha sasa kila kinaporejea kusoma namna mababu zetu walivyoingizwa Kingi kwenye mikataba ya ulaghai hasa kwa kumrejea Chief Mangungo wa Msowero hucheka na kuona walikuwa wajinga kiasi gani mpaka wakubali?
Lakini mababu hawa kina Chief Mangungo hawakuwa na elimu yoyote, hawakuwa wametembea sehemu mbalimbali yaani hawakuwa na exposure, mababu hawa walidanganywa kwasababu hawakuwa na elimu yoyote ya darasani na hata kutia saini walitumia dole gumba huku wakiwa hawaelewi kilichoandikwa.
Kizazi hikihiki cha baada ya Ukoloni, kizazi chenye elimu, kizazi kinachojua lugha zote rasmi duniani, kizazi cha kidigitali, kinashindwa kujiuliza na kuhoji na kuwacheka viongozi wake ambao wamekuwa wakisaini mikataba ya miaka ya zaidi ya 100 ambayo ndani yake kuna athari za kizazi na kizazi. Mikataba inayokuwa inamnufaisha mwekezaji zaidi na kuwanyonya wazawa.
Mikataba inasainiwa na viongozi waliosoma na kusomeshwa kwa fedha za umma na wana Degree, Masters na PhD, mikataba wanayosaini ni ya kinyonyaji na ya hovyo lakini mikataba inatetewa kwamba wawekezaji hawa wataongeza ajira na kizazi cha Kisomi kinafurahia na kushangilia, hakuna kuhoji, hakuna kuuliza. Ajira zinazoongezwa ni za Malipo ya bora mkono uende kinywani. Ajira zisizo za ukombozi wa kiuchumi.
Nimebahatika kuona mahali kwa macho yangu, Kiwanda ambacho kipo Tanzania eneo kilipo kuna makubaliano ya kimkataba miaka 100 kinazalisha nguo ambazo zinakwenda kuuzwa nje. Nguo zimeandikwa Made in China ila zinatengenezwa hapa kwetu. Kina wafanyakazi zaidi ya 400 (Mia nne) Mishahara wanayolipwa take home Yaani baada ya makato yote ni Sh. 90,000TZS na masaa ya kufanya kazi ni saa mbili asubuhi hadi saa moja usiku, Jumatatu hadi Ijumaa na Jumamosi ni mwisho saa nane mchana. Makontena na makontena huingia na kutoka kila wiki. Je, huyu mwekezaji ana Faida gani kwa nchi yetu kama sio unyonyaji ni nini?
Hivi mbele ya kizazi chenye wasomi lukuki viongozi wanathubutu kusaini mkataba wa kuuza bandari ya Dares salaam kwa miaka mia moja?
Je, mkataba kama huu, ulisainiwa na Mangungo? Kwanini tuwacheke wazee wetu ambao hawakuwa na elimu yoyote?
Natamani Kuwaomba msamaha kina Chief Mangungo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.View attachment 2648183
Hebu thibitisha ni wapi inaonesha bandari imebinafsishwa miaka 100NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO