Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Mkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna
 
Kama ndio mimi nitamtafuti kwa udi na uvumba mpaka nimpate
Sikuzote tunasema sikiliza story pande zote 2 hapa tumeshajua tapeli ni nani.. tapeli ni huyo anayejiita bilionea na kitendo cha kusingizia kuna mtu mkubwa kitamcost sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…