Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Mkuu ukibaki unasubir serikal ikupe ajira itachukua muda mrefu sana kuanza maisha...Kulima pia kunahitaji mtaji uwe nao kwanza !
Unautoa wapi huo mtaji ukiwa jobless au unemployed kwa lugha laini ya kistaarabu !
Start where you are with what you have...
Anza na ajira zunazopatikana kirahisi kwanza..
1.Masokon
2.Viwandani
3 .Mashambani
Then unafukuzia ndoto zako mdogo mdogo