Mkuu ukibaki unasubir serikal ikupe ajira itachukua muda mrefu sana kuanza maisha...Kulima pia kunahitaji mtaji uwe nao kwanza !
Unautoa wapi huo mtaji ukiwa jobless au unemployed kwa lugha laini ya kistaarabu !
Hapo sasa !Unamlipa mbunge 20m kwa mwezi vijana hawana ajira na posho laki 6 Kwa siku. Wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu waendelee kupata boom mpaka pale watakapopata ajira. Tena isiwe mkopo. Vijana wamechoka kulelewa na wazazi wakati wamevuka umri wa miaka 18. Hata NIHF inawatema wakifikisha umri huo hata kama wazazi wao bado ni watumishi serikalini.
Ina maana hizi movements ni spinning?
Akilia waliitoa wapi wehu hao?CCM wanaakili kubwa sana
Kenya kulikuwa na Gen. Z. Iliundwa na vijana wengi "unemployed". Sijui waliishia wapi vijana wale maana walidai wanaendesha maandamano yasiyo na kikomo kama Chadema! Ahahahahaha!!Kumekucha amkeni.View attachment 3252561
Mbona kubet umeacha?Mkuu ukibaki unasubir serikal ikupe ajira itachukua muda mrefu sana kuanza maisha...
Start where you are with what you have...
Anza na ajira zunazopatikana kirahisi kwanza..
1.Masokon
2.Viwandani
3 .Mashambani
Then unafukuzia ndoto zako mdogo mdogo
Tukajiunge mwakaniMambo ni 🔥
Ni Kweli, keki ya Taifa kama Kweli ni ya Taifa Kila mtanzania anufaike, la sivyo watanzania Daraja la juu au VVIP wataona wale wa Daraja la chini wakifidiwa na kifutwa machozi na Aliyesema Tanzania iwepo ikawepo, vivyo na Bahari wadudu miti mabonde Hayawani wa mwitu na wanyama nk mtaona akiwainua na kugeuza story maana Huyo hajui sura ya mtu, umbile, cheo au nafasi.Unamlipa mbunge 20m kwa mwezi vijana hawana ajira na posho laki 6 Kwa siku. Wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu waendelee kupata boom mpaka pale watakapopata ajira. Tena isiwe mkopo. Vijana wamechoka kulelewa na wazazi wakati wamevuka umri wa miaka 18. Hata NIHF inawatema wakifikisha umri huo hata kama wazazi wao bado ni watumishi serikalini.
Kwa vile Tuna utambuzi wa watanzania wote, iwekwe zamu ya kulima, Kila kijana awe mtoto wa Nani au nani. Hapo vipi?🙌Vijana wamekataa kulima.. east Africa ina rutuba nzuri.. wakiwa vyuoni wameaminishwa White collor job.. kwa jeuri baada ya kijana kula Boom miaka 3.. ndicho wanacho kujanacho!!!
Wameianzisha ili baadae wawavurugeCCM wanaakili kubwa sana
Ma afsa hawataki mambo mengiMalengo ya chama Cha ma jobless pro max, ili kuwa ni kuja na mikakati bora ya kumkwamua kijana.
Kwa kutumia umoja wetu project kadhaa zinge anzishwa, na hii Inge pelekea kufanya kitu Kama fund raising kutoka kwa wadau.
Kuweza kupata ushauri kwa watu wenye uzoefu ni namna gani ya kupata hizo ajira, kwa njia safi bila kuonekana ni tishio
Mgeni wa Jiji aje naye aseme kitu