Mf wakija wawekezaji mfano wa dpw utaelewana kweli!Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s,vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo.
Ushauri kwa serikali na UDART
Tafuteni mwekezaji anayeweza kuleta magari mapya nyie mbaki na kuchukua kodi na ushuru. Japo garama itaongezeka lakini hakuna jinsi watu wanataka huduma.
Au njia itumike kwa magari mengine ili kupunguza msongamano.
Ujenzi haujakamilika ingawa wewe unaona umekamilika. Au unashauri waanze operation kabla miundombinu kukamilika?Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s,vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo.
Ushauri kwa serikali na UDART
Tafuteni mwekezaji anayeweza kuleta magari mapya nyie mbaki na kuchukua kodi na ushuru. Japo garama itaongezeka lakini hakuna jinsi watu wanataka huduma.
Au njia itumike kwa magari mengine ili kupunguza msongamano.
Wa huko huko ndio anapewa hii njia wazalendo si mmeshindwa?Mf wakija wawekezaji mfano wa dpw utaelewana kweli!
Pale maeneo ya polisi ufundi kuna mchanga ukiukusanya zinajaa mende mbili.Kesho nitaleta picha
Mbona hivyo tajwa hapo havihitaji uchunguzi. Vinaonekana wazi kabisa.Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s,vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo.
Ushauri kwa serikali na UDART
Tafuteni mwekezaji anayeweza kuleta magari mapya nyie mbaki na kuchukua kodi na ushuru. Japo garama itaongezeka lakini hakuna jinsi watu wanataka huduma.
Au njia itumike kwa magari mengine ili kupunguza msongamano.
lile gazeti la jamhuri lipo wapigieni simuNasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo.
Ushauri kwa serikali na UDART
Tafuteni mwekezaji anayeweza kuleta magari mapya nyie mbaki na kuchukua kodi na ushuru. Japo garama itaongezeka lakini hakuna jinsi watu wanataka huduma.
Au njia itumike kwa magari mengine ili kupunguza msongamano.
Ilisemwa mwaka jana mwezi wa sita ingeanza kufanya kazi, mtoa taarifa huyo nilimkatalia mno, leo hii aibu huwa anaona yeyeMbona hivyo tajwa hapo havihitaji uchunguzi. Vinaonekana wazi kabisa.
Nafikiri ni swala la muda tu, BRT-MBAGALA itaanza kufanya kazi.
Kwani Hangaya anajua nini zaidi ya kuhangaika huko angani kama mwewe, kimsingi nchi kuwapa hawa wabeijing ni majanga tu yaani wanawaza lipstick tu na shedo baaasi, vinginevyo mtajua wenyewe.Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.